• HABARI MPYA

  Sunday, December 24, 2023

  KINDA MPYA WA YANGA AITWA TIMU YA TAIFA ZANZÍBAR


  KIUNGO mpya wa Yanga, Shekhan Ibrahim Khams na Khleffin Salum Hamdoun anayecheza Muscat Club ya Oman ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Zanzibar Heroes kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars Jumatano Uwanja wa Amaan, Zanzibar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KINDA MPYA WA YANGA AITWA TIMU YA TAIFA ZANZÍBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top