• HABARI MPYA

  Alhamisi, Novemba 30, 2017
  AZAM TV KUONYESHA MECHI ZOTE 'LIVE' KOMBE LA CECAFA CHALLENGE

  AZAM TV KUONYESHA MECHI ZOTE 'LIVE' KOMBE LA CECAFA CHALLENGE

  Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Azam Media, imeingia mkataba na Baraza la Vyama vya Soka Afika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa ...
  MTIBWA SUGAR ‘YAMTIA KITANZI’ BEKI WA SERENGETI BOYS

  MTIBWA SUGAR ‘YAMTIA KITANZI’ BEKI WA SERENGETI BOYS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa pembeni wa Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea kl...
  TORRES AFUNGA MAWILI ATLETICO MADRID YAUA 3-0 HISPANIA

  TORRES AFUNGA MAWILI ATLETICO MADRID YAUA 3-0 HISPANIA

  Fernando Torres akishangilia baada ya kuifungia Atletico Madrid mabao mawili dakika za 33 na 68 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Elche kwen...
  BARCELONA YAWAPIGA VIBONDE 5-0 KOMBE LA MFALME

  BARCELONA YAWAPIGA VIBONDE 5-0 KOMBE LA MFALME

  Mshambuliaji wa Barcelona, Paco Alcacer (kushoto) akishangilia mbele ya beki  Gerard Pique  baada ya wote kufunga katika ushindi wa 5-0 d...
  RUDIGER AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAIBWAGA SWANSEA 1-0

  RUDIGER AIFUNGIA BAO PEKEE CHELSEA YAIBWAGA SWANSEA 1-0

  Beki Mjerumani, Antonio Rudiger akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 55 ikiilaza 1-0 Swansea City katika mchezo wa...
  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YACHINJA 3-0 UGENINI

  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YACHINJA 3-0 UGENINI

  Alberto Moreno (kushoto) akimpongeza Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 77 na 83 katika ushindi wa 3-0 dhi...
  RAHEEM STERLING TENA, AIFUNGIA LA USHINDI WA 2-1 MAN CITY

  RAHEEM STERLING TENA, AIFUNGIA LA USHINDI WA 2-1 MAN CITY

  Raheem Sterling akiruka juu kishujaa kushangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya sita ya muda wa nyingeza ba...
  GIROUD APIGA MBILI, LACAZETTE, SANCHEZ 'MOJA MOJA' ARSENAL YASHINDA 5-0 ENGLAND

  GIROUD APIGA MBILI, LACAZETTE, SANCHEZ 'MOJA MOJA' ARSENAL YASHINDA 5-0 ENGLAND

  Olivier Giroud akishangilia  baada ya kufunga mabao mawili dakika za 68 na 87 katika ushindi wa 5-0 wa Arsenal dhidi ya  Huddersfield Tow...
  EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0

  EVERTON YAFUFUA MAKALI, ROONEY APIGA HAT TRICK YASHINDA 4-0

  Wayne Rooney akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 18, 28 na 66 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United u...
  Jumatano, Novemba 29, 2017
  MAVUGO MRUNDI PEKEE ANAYECHEZA TANZANIA ALIYEITWA KIKOSI CHA INT’HAMBA MURUGAMBA

  MAVUGO MRUNDI PEKEE ANAYECHEZA TANZANIA ALIYEITWA KIKOSI CHA INT’HAMBA MURUGAMBA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo ni mchezaji pekee anayecheza Tanzania aliyeitwa kwenye kikosi cha Bu...
   KOCHA MPYA EVERTON, ALLARDYCE ASEMA WACHEZAJI HAWAJIAMINI TENA

  KOCHA MPYA EVERTON, ALLARDYCE ASEMA WACHEZAJI HAWAJIAMINI TENA

  Sam Allardyce ni kocha mpya wa Everton kwa mswhahara wa Pauni Milioni 6 kwa mwaka   PICHA ZAIDI GONGA HAPA RATIBA YA MECHI ZA EVERTO...
  KIPA WA YANGA, KINDA WA AZAM WAONGEZWA KILI STARS

  KIPA WA YANGA, KINDA WA AZAM WAONGEZWA KILI STARS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ameongeza ...
  WENGER ASEMA PETR CECH ANATAKA KUZEEKEA ARSENAL

  WENGER ASEMA PETR CECH ANATAKA KUZEEKEA ARSENAL

  KIPA Petr Cech hana mpango wa kuondoka Arsenal kwa mujibu wa kocha Mfaransa wa klabu hiyo,  Arsene Wenger .  Wenger amesema mlinda mlang...
   NINJE APEWA NAFASI YA KUONGEZA WATATU KIKOSI CHA CHALLENGE

  NINJE APEWA NAFASI YA KUONGEZA WATATU KIKOSI CHA CHALLENGE

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limempa fursa kocha Ammy Ninje kuongeza wachezaji watatu kwenye kikosi...
  CECAFA YACHUKUA MAREFA WAWILI TU TANZANIA

  CECAFA YACHUKUA MAREFA WAWILI TU TANZANIA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetaua marefa wawili tu wa Tanzania kwa ajil...
  HIMID MAO AWASHINDA WAGENI NA KUWA MCHEZAJI BORA WA AZAM OKOTBA

  HIMID MAO AWASHINDA WAGENI NA KUWA MCHEZAJI BORA WA AZAM OKOTBA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa klabu kwa mwezi Oktoba baada ya...
  LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA 2-1 TOTTENHAM KING POWER

  LEICESTER CITY YAIKANDAMIZA 2-1 TOTTENHAM KING POWER

  Riyad Mahrez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya T...
  REAL MADRID YATOA SARE NYUMBANI 2-2 KOMBE LA MFALME

  REAL MADRID YATOA SARE NYUMBANI 2-2 KOMBE LA MFALME

  Borja Mayoral akishangilia baada ya kufingia mabao yote mawili Real Madrid dakika za 62 na 70 ikitoa sare ya 2-2 na Fuenlabrada katika ...
  ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD

  ASHLEY YOUNG AFUNGA MAWILI, MAN UNITED YAIPIGA 4-2 WATFORD

  Ashley Young akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika za 19 na 25 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Watford usi...
  Jumanne, Novemba 28, 2017
  EUBANK NA GROOVES WATAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LAO LA FEBRUARI 17

  EUBANK NA GROOVES WATAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LAO LA FEBRUARI 17

  Mabondia George Groves na Chris Eubank Jnr walipokutana katika mkutano na waandishi wa habari leo kutangaza pamabano lao la Nusu Fainali ...
  SIMBA KUANZA NA URA, YANGA NA JKU UFUNGUZI ‘MAPINDUZI CUP’ 2018

  SIMBA KUANZA NA URA, YANGA NA JKU UFUNGUZI ‘MAPINDUZI CUP’ 2018

  Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM SIMBA SC itafungua dimba na URA ya Uganda katika michuano maarufu ya Kombe la Mapinduzi, Januari 2, mwaka 2...
  SIMBA SC WAPEWA SIKU NNE MAPUMZIKO, KUREJEA IJUMAA MAZOEZINI

  SIMBA SC WAPEWA SIKU NNE MAPUMZIKO, KUREJEA IJUMAA MAZOEZINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Simba wamepewa mapumziko ya siku nne tu hadi Ijumaa kabla ya kurudi kuendelea na mazoezi kwa...
  BUFFON ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA SERIE A

  BUFFON ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA SERIE A

  KIPA mkongwe wa  Juventus , Gianluigi Buffon ameongeza tuzo baada ya kuchaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa wa Msimu uliopita wa Serie A  katik...
  MAN UNITED WALIVYOKWEA TRENI KUWAFUATA WATFORD

  MAN UNITED WALIVYOKWEA TRENI KUWAFUATA WATFORD

  Nyota wa Manchester United, Paul Pogba (kulia) na wenzake wakielekea kupanda treni katika stesheni ya  Stockport kwa safari ya London kwa...
  Jumatatu, Novemba 27, 2017
  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR HAKUNA MBABE, SARE 1-1 CHAMAZI

  AZAM FC NA MTIBWA SUGAR HAKUNA MBABE, SARE 1-1 CHAMAZI

  Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeshindwa kuitoa juu ya msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simba SC baada ya ...
  LWANDAMINA AWAPA ‘OFF’ WACHEZAJI WOTE YANGA SIKU SABA

  LWANDAMINA AWAPA ‘OFF’ WACHEZAJI WOTE YANGA SIKU SABA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mzambia wa Yanga, George Lwandamina ametoa wiki moja ya mapumziko kwa wachezaji wake kufuatia mechi...
  BALE AJIFUA REAL MADRID IKIJIANDAA NA KOMBE LA MFALME KESHO

  BALE AJIFUA REAL MADRID IKIJIANDAA NA KOMBE LA MFALME KESHO

  Gareth Bale akifanya mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kupona wakati timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa Kombe la Mfalme...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top