• HABARI MPYA

  Jumanne, Januari 31, 2017
  JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WEMBLEY

  JOSHUA NA WLADIMIR KLITSCHKO ULINGONI APRILI 29 WEMBLEY

  Anthony Joshua na Wladimir Klitshchko katika picha ya pamoja kwenye mkutano na Waandishi wa Habari ukumbi wa  Madison Square Garden  mjin...
  ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR

  ADEBAYOR ATUA LIGI KUU UTURUKI, ASAINI BASAKSEHIR

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo, Emmanuel Adebayor akiwa amevalia jezi ya Istanbul Basaksehir ya Ligi Kuu ya Uturuki baada ya kukamilis...
  Jumatatu, Januari 30, 2017
  KIPA BORA LIGI KUU AFARIKI DUNIA, ALIKUWA AMELAZWA HOSPITALI YA BUGANDO

  KIPA BORA LIGI KUU AFARIKI DUNIA, ALIKUWA AMELAZWA HOSPITALI YA BUGANDO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIPA bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2013/2014, David Abdallah Burhan amefariki dunia...
  REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA

  REAL MADRID YAITWANGA SOCIEDAD 3-0 LA LIGA

  Cristiano Ronaldo akishangiliaa baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili dakika ya 51 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Sociedad jana...
  Jumapili, Januari 29, 2017
  LIVERPOOL YAMKODIA NDEGE SADIO MANE AWAHI MECHI NA CHELSEA

  LIVERPOOL YAMKODIA NDEGE SADIO MANE AWAHI MECHI NA CHELSEA

  KLABU ya Liverpool haijataka kupoteza muda zaidi kumrejesha mchezaji wake tegemeo, Sadio Mane kutoka kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya...
  MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  MAN UNITED YAUA 4-0 KOMBE LA FA ENGLAND

  Bastian Schweinsteiger (kulia) akishangilia na wenzake akiwemo Nahodha, Wayne Rooney (kushoto) baada ya kuifungia  Manchester United  bao...
  BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS

  BARCELONA YABANWA, SARE 1-1 NA REAL BETIS

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akiwa amezungukwa na wachezaji wa Real Betis katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa  Benito Villa...
  CHIRWA AIPANDISHA KILELENI YANGA, SIMBA WANAISOMA WAO SASA

  CHIRWA AIPANDISHA KILELENI YANGA, SIMBA WANAISOMA WAO SASA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji Mzambia, Obrey Chirwa leo ametokea benchi na kufunga mabao yote, Yanga ikiilaza 2-0 ...
  LWANDAMINA AWAANZISHA YONDAN, CANNAVARO, ZULU DHIDI YA MWADUI LEO

  LWANDAMINA AWAANZISHA YONDAN, CANNAVARO, ZULU DHIDI YA MWADUI LEO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mzambia George Lwandamina leo amewaanzisha pamoja wakongwe Kevin Yondan na Nadir Haroub 'Canna...
  TIMU YA SAMATTA YACHEZEA KICHAPO UBELGIJI

  TIMU YA SAMATTA YACHEZEA KICHAPO UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ameshindwa kuinusuru KRC Genk ku...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top