• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 30, 2021
  AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0

  AZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0

  BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 52 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu y...
  YANGA SC YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0

  YANGA SC YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0

  VINARA Yanga SC wametanua uongozi wao hadi pointi tano dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya ...
  SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC

  SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC

  MABINGWA watetezi, Simba SC wataanza na JKT Tanzania katika Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam ...
  Jumapili, Novemba 28, 2021
  REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA

  REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA

  REFA Abel William aliyewapa Yanga penalti ya uraia iliyowapatia bao la kusawazisha wako toa sare ya 1-1 na Namungo FC wiki iliyopita Lindi a...
  Jumamosi, Novemba 27, 2021
  PRISONS YAIPIGA NAMUNGO 3-1, MCC NA KMC 2-2

  PRISONS YAIPIGA NAMUNGO 3-1, MCC NA KMC 2-2

  WENYEJI, Tanzania Prisons wamepata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Namungo FC mabao 3-1 jioni y...
  Ijumaa, Novemba 26, 2021
  SAMATTA AIFUNGIA ANTWERP YATOA SARE UJERUMANI

  SAMATTA AIFUNGIA ANTWERP YATOA SARE UJERUMANI

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameifungia bao la pili timu yake, Royal Antwerp ikitoa sare ya 2-2 ugenini d...
  MSUVA AWAIBUKIA YANGA MAZOEZINI KIGAMBONI

  MSUVA AWAIBUKIA YANGA MAZOEZINI KIGAMBONI

    MSHAMBULIAJI wa Wydad Athletic ya Morocco, Simon Happygod Msuva jana ametembelea mazoezi ya timu yake ya zamani, Yanga SC eneo la Avic Tow...
  Jumatatu, Novemba 22, 2021
  TANZANIA YAMALIZA YA PILI COSAFA

  TANZANIA YAMALIZA YA PILI COSAFA

  TANZANIA jana imemaliza nafasi ya pili kwenye michuano ya Soka la Ufukweni baada ya kufungwa 3-1 na Msumbiji katika Fainali ufukwe wa South ...
  Jumamosi, Novemba 20, 2021
  YANGA CHUPUCHUPU KWA NAMUNGO, 1-1

  YANGA CHUPUCHUPU KWA NAMUNGO, 1-1

  VINARA, Yanga SC wamepunguzwa kasi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kutoa sare ya 1-1 na wenyeji, Namungo FC jioni ya leo Uwanja wa...
  MBEYA CITY YAITANDIKA MTIBWA 3-1

  MBEYA CITY YAITANDIKA MTIBWA 3-1

  WENYEJI, Mbeya City wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Sok...
  Ijumaa, Novemba 19, 2021
  TANZANIA YATINGA FAINALI COSAFA UFUKWENI

  TANZANIA YATINGA FAINALI COSAFA UFUKWENI

  TANZANIA imefanikiwa kuingia fainali michuano ya COSAFA Soka la Ufukweni baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Angola leo ufukwe wa South Beach A...
  KAGERE APIGA MBILI, SIMBA YAICHAPA RUVU 3-1

  KAGERE APIGA MBILI, SIMBA YAICHAPA RUVU 3-1

  MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao y...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top