• HABARI MPYA

    Saturday, December 16, 2023

    YANGA YATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA WA KWANZA DIRISHA DOGO, KINDA MZENJI


    KLABU ya Yanga imetambulisha mchezaji wa kwanza mpya katika dirisha dogo, ambaye ni kiungo Shekhan Ibrahim Khamis (18) kutoka JKU ya visiwani Zanzibar.
    VIDEO: UTAMBULISHO WA SHEKHAN IBRAHIM KHAMIS YANGA SC


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA YATAMBULISHA MCHEZAJI MPYA WA KWANZA DIRISHA DOGO, KINDA MZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top