• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 31, 2021
  Jumatatu, Agosti 30, 2021
  Jumapili, Agosti 29, 2021
  MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX

  MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 MOLINEUX

  WENYEJI, Wolverhampton Wanderers wameshindwa kutumia vizuri Uwanja wa nyumbani, Molineux baada ya kuchapwa 1-0 na Manchester United leo kati...
  CHELSEA PUNGUFU YATOA SARE 1-1 NA LIVERPOOL

  CHELSEA PUNGUFU YATOA SARE 1-1 NA LIVERPOOL

  WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 1-1 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfield. Chelsea ilimaliza...
  Jumamosi, Agosti 28, 2021
  TORRES APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 5-0

  TORRES APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA ARSENAL 5-0

  MABINGWA watetezi, Manchester City wameendeleza 'mauaji' baada ya kuichapa Arsenal 5-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwan...
  Ijumaa, Agosti 27, 2021
  CAS YASOGEZA HADI SEPTEMBA 21 KESI YA MORRISON NA YANGA

  CAS YASOGEZA HADI SEPTEMBA 21 KESI YA MORRISON NA YANGA

    MAHAKAMA ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) imesogeza mbele kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya wings Mghana, Bernard Morrison hadi Septemba 21, m...
  Alhamisi, Agosti 26, 2021
  BAYERN WASHINDA 12-0 KOMBE LA UJERUMANI

  BAYERN WASHINDA 12-0 KOMBE LA UJERUMANI

  MABINGWA wa Ujerumani, Bayern Munich usiku wa Jumatano wameionea timu ya daraja la Tano nchini humo, Bremer SV baada ya kuichapa mabao 12-0 ...
  AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0

  AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0

  TIMU ya Arsenal usiku wa Jumatano imekonga nyoyo za mashabiki wake baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion kwenye mch...
  Jumatano, Agosti 25, 2021
  TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA DRC

  TAIFA STARS WAANZA KUJIFUA KWA AJILI YA DRC

  MAKIPA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam baada ya kuingia kambini ...
  UKAGUZI KIRUMBA KWA AJILI YA KOMBE LA AFRIKA

  UKAGUZI KIRUMBA KWA AJILI YA KOMBE LA AFRIKA

  MENEJA wa Leseni za Klabu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jonas Kiwia akifanya ukaguzi Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kama unakid...
  Jumanne, Agosti 24, 2021
  Jumatatu, Agosti 23, 2021
  PRISONS YASAJILI KIPA WA AZAM, MSHAMBULIAJI WA SIMBA SC

  PRISONS YASAJILI KIPA WA AZAM, MSHAMBULIAJI WA SIMBA SC

  KATIKA kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, klabu ya Tanzania Prisons SC ya Mbeya imemsajili kipa Bened...
  KOFFI OLOMIDE KUTUMBUIZA KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

  KOFFI OLOMIDE KUTUMBUIZA KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

    MWANAMUZIKI nguli barani Afrika, Koffi Olomide atatumbuisha kwenye tamasha la klabu ya Yanga lijulikanalo kama kilele cha Wiki ya Mwananch...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top