// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 08/01/2023 - 09/01/2023 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 08/01/2023 - 09/01/2023 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, August 31, 2023
    SINGIDA YATOA SARE NYINGINE NYUMBANI 0-0 NA TABORA UNITED

    SINGIDA YATOA SARE NYINGINE NYUMBANI 0-0 NA TABORA UNITED

    TIMU ya Singida Fountain Gate imelazimishwa sare ya bila kufungana na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanj...
    Wednesday, August 30, 2023
    TABORA UNITED YATOZWA FAINI KWA MADUDU YAO MECHI NA AZAM FC

    TABORA UNITED YATOZWA FAINI KWA MADUDU YAO MECHI NA AZAM FC

    TIMU ya Tabora United imetozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kuchelewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Azam FC ...
    SABA YANGA WAITWA TAIFA STARS, SIMBA WANNE, AZAM…

    SABA YANGA WAITWA TAIFA STARS, SIMBA WANNE, AZAM…

    WACHEZAJI saba wa klabu bingwa ya Tanzania, Yanga SC wameitwa katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kwa ajili ya mchezo wa Kundi F ku...
    Tuesday, August 29, 2023
    Monday, August 28, 2023
    AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA PRISONS 3-1

    AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA PRISONS 3-1

    TIMU ya Azam FC imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa A...
    Sunday, August 27, 2023
    Saturday, August 26, 2023
    Friday, August 25, 2023
    Wednesday, August 23, 2023
    CLARA LUVANGA WA YANGA ASAINI MIAKA MITATU KLABU YA HISPANIA

    CLARA LUVANGA WA YANGA ASAINI MIAKA MITATU KLABU YA HISPANIA

    MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya vijana ya wanawake Tanzania, Clara Cletus Luvanga amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Dux...
    Tuesday, August 22, 2023
    SINGIDA BIG STARS YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS LITI

    SINGIDA BIG STARS YAAMBULIA SULUHU KWA PRISONS LITI

    WENYEJI, Singida Fountain Gate ‘ The Big Stars’ wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons katika mchezo wao wa kwanza wa Lig...
    Monday, August 21, 2023
    MASHUJAA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD KIGOMA

    MASHUJAA YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tan...
    Sunday, August 20, 2023
    HISPANIA MABINGWA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE 2023

    HISPANIA MABINGWA KOMBE LA DUNIA WANAWAKE 2023

    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Hispania wakifurahia na Kombe la Dunia baada ya kuichapa England 1-0 pekee la Olga Carmona leo mji...
    MTIBWA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA COASTAL UNION MANUNGU

    MTIBWA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA COASTAL UNION MANUNGU

    WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Coastal Unión ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo ...
    Saturday, August 19, 2023
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA KMC RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SARE YA 1-1 KWA KMC RUANGWA

    TIMU ya Namungo imecheza mechi ya pili nyumbani ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara bila ushindi baada ya leo kutoa sare ya kufungana bao 1-1 ...
    Friday, August 18, 2023
    SINGIDA STARS YAITANDIKA JKU 4-1 KOMBE LA SHIRIKISHO CHAMAZI

    SINGIDA STARS YAITANDIKA JKU 4-1 KOMBE LA SHIRIKISHO CHAMAZI

    TIMU ya Singida Fountain Gate ‘Big Stars’ imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kusogea mbele kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi ...
    Thursday, August 17, 2023
    SIMBA SC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 4-2 PALE PALE MANUNGU

    SIMBA SC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 4-2 PALE PALE MANUNGU

    TIMU ya Simba imeanza vyema Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar jioni ya leo Uwanja w...
    Wednesday, August 16, 2023
    MASHUJAA YAWAKANDA KAGERA SUGAR 2-0 LAKE TANGANYIKA

    MASHUJAA YAWAKANDA KAGERA SUGAR 2-0 LAKE TANGANYIKA

    WENYEJI, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Ta...
    KITAYOSCE YAFUTIWA ADHABU, KUIVAA AZAM FC NA KIKOSI KAMILI

    KITAYOSCE YAFUTIWA ADHABU, KUIVAA AZAM FC NA KIKOSI KAMILI

    KLABU ya Kitayosce imefutiwa adhabu ya kutofanya usajili katika dirisha hili - hivyo iko huru kuwatumia wachezaji wake wote katika mchezo wa...
    Tuesday, August 15, 2023

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top