• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 30, 2019
  WINGA MACHACHARI WA TP MAZEMBE, DEO KANDA MUKOKO ATUA SIMBA SC KWA MKOPO

  WINGA MACHACHARI WA TP MAZEMBE, DEO KANDA MUKOKO ATUA SIMBA SC KWA MKOPO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Gracia Kanda Mukoko anatarajiwa kujiung...
  SINGIDA UNTED YAANZA KAZI, YASAJILI MSHAMBULIAJI WA GHANA NA BEKI MZANZIBARI

  SINGIDA UNTED YAANZA KAZI, YASAJILI MSHAMBULIAJI WA GHANA NA BEKI MZANZIBARI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KUFUATIA kufunguliwa rasmi leo kwa dirisha la usajili la Ligi Kuu ya Tanzania Bara, klabu ya Singida Unit...
  TFF YAFUNGUA RASMI DIRISHA LA USAJILI KWA KLABU ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

  TFF YAFUNGUA RASMI DIRISHA LA USAJILI KWA KLABU ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu,Lig...
  AMUNIKE AJIPA MATUMAINI YA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA ALGERIA KESHO

  AMUNIKE AJIPA MATUMAINI YA KUPATA MATOKEO MAZURI DHIDI YA ALGERIA KESHO

  Na Mwandishi Wetu, CAIRO KOCHA wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Taifa, Mnigeria Emmanuel Amuneke anaamini timu yake ina nafasi ...
  SIASA NA ITIKADI ZAKE VISIRUHUSIWE SANA KUINGILIA KWENYE MICHEZO

  SIASA NA ITIKADI ZAKE VISIRUHUSIWE SANA KUINGILIA KWENYE MICHEZO

  TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kwenye mchezo wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2019 dhidi...
  TAIFA STARS WAKIPASHA FUKWE YA COPACABANA KAMBINI BRAZIL 2007

  TAIFA STARS WAKIPASHA FUKWE YA COPACABANA KAMBINI BRAZIL 2007

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars chini ya Kocha Mbrazil, Marcio Maximo wakiwa mazoezini kwenye ufukwe wa Copac...
  Jumamosi, Juni 29, 2019
  Ijumaa, Juni 28, 2019
  YANGA SC YAVAMIA KAMBI ZA AFCON MISRI NA KUSAJILI KIPA WA KENYA NA BEKI WA TAIFA STARS

  YANGA SC YAVAMIA KAMBI ZA AFCON MISRI NA KUSAJILI KIPA WA KENYA NA BEKI WA TAIFA STARS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC imesajili wachezaji wawili wapya, kipa Mkenya Farouk Shikalo na beki Mtanzania, Ally Mt...
  YANGA SC KUANIKA KIKOSI KIPYA JULAI 27 TAIFA KWA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA

  YANGA SC KUANIKA KIKOSI KIPYA JULAI 27 TAIFA KWA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC itacheza mechi ya kwanza ya msimu Julai 27 mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam dhidi y...
  LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4

  LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUNI MILIONI 4.4

  Beki kinda wa umri wa miaka 17,  Sepp van der Berg akiwa ameshika jezi ya  Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka PEC Zwolle...
  SIMBA SC YASAJILI MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA KLABU YA LIGI DARAJA LA NNE BRAZIL

  SIMBA SC YASAJILI MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA KLABU YA LIGI DARAJA LA NNE BRAZIL

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imesajili mchezaji mwingine kutoka Brazil, ambaye ni beki Tairone Santos da Silva mwenye umri wa...
   TAIFA STARS YAGONGWA 3-2 NA HARAMBEE STARS NA KUTUPWA NJE MICHUANO YA AFCON

  TAIFA STARS YAGONGWA 3-2 NA HARAMBEE STARS NA KUTUPWA NJE MICHUANO YA AFCON

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuchapwa 3-2 na Kenya katika mche...
  Alhamisi, Juni 27, 2019
  SHOMARI KAPOMBE AONGEZA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUBAKI SIMBA SC

  SHOMARI KAPOMBE AONGEZA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUBAKI SIMBA SC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kulia kimataifa wa Tanzania, Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuic...
  Jumatano, Juni 26, 2019
  KOTEI ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUJIUNGA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI

  KOTEI ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUJIUNGA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mghana, James Agyekum amejiunga na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini baada ya kusiani mkatab...
  CLATOUS CHAMA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA NA KAZI SIMBA SC

  CLATOUS CHAMA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA NA KAZI SIMBA SC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mzambia, Clatous Chota Chama maarufu kwa majina ya utani ya Triple C na Mwamba wa Lusaka, amesaini...
  Jumanne, Juni 25, 2019
  AMUNIKE ANA MATUMAINI YA KUIPIGA KENYA MECHI YA PILI YA AFCON ALHAMISI CAIRO

  AMUNIKE ANA MATUMAINI YA KUIPIGA KENYA MECHI YA PILI YA AFCON ALHAMISI CAIRO

  Na Mwandishi Wetu, CAIRO KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars, Emmanuel Amunike ana matumaini ya kufanya vizuri katika mchez...
  BEKI MBRAZIL ALIYECHEZA PAMOJA NA NEYMAR, PHILIPPE COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC

  BEKI MBRAZIL ALIYECHEZA PAMOJA NA NEYMAR, PHILIPPE COUTINHO ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kati na kiungo mkabaji, Mbrazil Gerson Fraga Vieira amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top