• HABARI MPYA

  Jumatatu, Oktoba 31, 2016
  POLISI YAZUNGUMZIA KIFO CHA MASHALI, FAMILIA YATAJA TAREHE YA MAZISHI

  POLISI YAZUNGUMZIA KIFO CHA MASHALI, FAMILIA YATAJA TAREHE YA MAZISHI

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM JESHI la Polisi Kanda Maalum, Kinondoni, Dar es Salaam limethibitisha bondia Thomas Fabian Mashali maarufu ...
  RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULINGONI NOVEMBA 5

  RAMBO AMUIBUKIA PACQUIAO GYM AKIJIANDAA KURUDI ULINGONI NOVEMBA 5

  Bondia Mfilipino, Manny Pacquiao akiwa na gwiji wa filamu za kibabe Marekani, Sylvester Stallone maarufu kama Rambo au 'Bondia Rocky&...
  CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 KWAKE

  CHELSEA SI WA MCHEZO MCHEZO, SOUTHAMPTON KAFA 2-0 KWAKE

  Wachezaji wa Chelsea, wakiongozwa na David Luiz kushangilia bao la kwanza la Eden Hazard katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji  Southamp...
  Jumapili, Oktoba 30, 2016
  YANGA KIBOKO, MBAO WAMEKUFA 3-0 KAMA WAMESIMAMA

  YANGA KIBOKO, MBAO WAMEKUFA 3-0 KAMA WAMESIMAMA

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KOCHA Mhoalanzi wa Mholanzi Franciscus Johannes ‘Hans’ van der Pluijm amerejea na mguu mzuri baada ya leo k...
  TAMBWE ANAANZA NA CHIRWA LEO YANGA DHIDI YA MBAO, NGOMA ANASUBIRI

  TAMBWE ANAANZA NA CHIRWA LEO YANGA DHIDI YA MBAO, NGOMA ANASUBIRI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya kutokea benchi Jumatano na kufunga mabao mawili, Yanga ikishinda 4-0 dhidi ya JKT Ruvu, mshambul...
  HUO UBISHI WA MBAO HATA KWA YANGA, AU ILIKUWA KWA SIMBA TU?

  HUO UBISHI WA MBAO HATA KWA YANGA, AU ILIKUWA KWA SIMBA TU?

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC wanateremka kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam jioni ya leo kumenyana na Mbao FC ya Mwan...
  DEWJI ALIVYOTUMIA MADARAKA YAKE STARS KUMHAMISHIA CHINA SIMBA SC

  DEWJI ALIVYOTUMIA MADARAKA YAKE STARS KUMHAMISHIA CHINA SIMBA SC

  Meneja wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Azim Dewji akiwa na kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China mwaka 1992 Uwanja wa Ndege...
  Jumamosi, Oktoba 29, 2016
  SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK IKIUA 2-1 UBELGIJI

  SAMATTA ATOKEA BENCHI GENK IKIUA 2-1 UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amecheza benchi timu yake, KRC Genk ikishinda 2-1 dhidi...
  RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID IKISHINDA 4-1

  RONALDO APIGA HAT TRICK, AKOSA PENALTI REAL MADRID IKISHINDA 4-1

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la pili katika ushindi wa 4-1 ugenini dhidi ya Alaves Uwanja wa  Mendiz...
  AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS

  AHMED MUSA AINUSURU LEICESTER KULALA KWA SPURS

  Mshambuliaji wa Leicester City, Ahmed Musa akigalagazana na kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris kuifungia bao la kusawazisha timu yake...
  AGUERO AFIKISHA MABAO 149 MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND

  AGUERO AFIKISHA MABAO 149 MAN CITY IKIUA 4-0 ENGLAND

  Sergio Aguero akiteleza kibabe kushangilia bao lake 149 kwenye mashindano yote Manchester City jioni ya leo katika ushindi wa 4-0 dhidi y...
  MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA BURNLEY

  MOURINHO 'ATIMULIWA' KWENYE BENCHI MAN UNITED IKING'ANG'ANIWA NA BURNLEY

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiketi jukwaani baada ya kuondolewa kwenye benchi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England bain...
  GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND

  GIROUD, SANCHEZ KILA MMOJA AFUNGA MAWILI ARSENAL YAITANDIKA 4-1 SUNDERLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal,  Olivier Giroud (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake,  Francis Coquelin baada ya kufunga mabaoi mawili ka...
  SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAWAPIGA 3-0 MWADUI KAMBARAGE

  SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAWAPIGA 3-0 MWADUI KAMBARAGE

  Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA SIMBA SC imezidi kupiga kasi kuelekea kwenye taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ji...
  SIMBA SC KUENDELEZA UBABE LIGI KUU LEO?

  SIMBA SC KUENDELEZA UBABE LIGI KUU LEO?

  Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA VINARA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wanashuka Uwanja wa Kambarage, Shinyanga leo kumenyana n...
  Ijumaa, Oktoba 28, 2016
  RONALDO AREJEA KIKOSINI REAL MADRID IKIIVAA ALAVES KESHO

  RONALDO AREJEA KIKOSINI REAL MADRID IKIIVAA ALAVES KESHO

  NYOTA wa Real Madrid wamerejea mazoezini baada ya kupumzishwa kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey.  Cristiano Ro...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top