• HABARI MPYA

  Sunday, March 17, 2019

  AGUERO AIPELEKA MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City dakika ya 88 ikitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kuilaza Swansea City 3-2 katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Liberty. Mabao mengine ya Man City yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 69 na kipa Kristoffer Nordfeldt aliyejifunga dakika ya 78, wakati ya Swansea yamefungwa na Matt Grimes kwa penalti dakika ya 20 na Bersant Celina dakika ya 29 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AIPELEKA MAN CITY NUSU FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top