• HABARI MPYA

  Tuesday, October 31, 2023
  TWIGA STARS YASONGA MBELE KUFUZU OLIMPIKI YA PARIS 2024

  TWIGA STARS YASONGA MBELE KUFUZU OLIMPIKI YA PARIS 2024

  TIMU ya taifa ya wanawake’Twiga Starst’ imefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya mchujo wa kuwania tiketi ya Fainali za Michezo ya Olimpiki mwak...
  IBRAHIM MAO AIUA MTIBWA UHURU, KMC YANG’ARA LIGI KUU

  IBRAHIM MAO AIUA MTIBWA UHURU, KMC YANG’ARA LIGI KUU

  BAO pekee la Ibrahim Mao dakika ya 15 limetosha kuipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bar...
  NI MESSI TENA MSHINDI WA BALLON D'OR 2023, HAALAND NA MBAPPE...

  NI MESSI TENA MSHINDI WA BALLON D'OR 2023, HAALAND NA MBAPPE...

  GWIJI wa Argentina, Lionel Andrés Messi wa Inter Miami usiku wa jana amefanikiwa kushinda tuzo yake ya nane ya Ballon d'Or akiwaangusha ...
  Monday, October 30, 2023
  KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA TABORA UNITED KAITABA

  KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA TABORA UNITED KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Buk...
  TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE

  TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE

  WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya 0-0 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jiji...
  Sunday, October 29, 2023
  MCAMEROON AMKALISHA TYSON FURY, LAKINI APOTEZA PAMBANO KWA POINTI

  MCAMEROON AMKALISHA TYSON FURY, LAKINI APOTEZA PAMBANO KWA POINTI

  BONDIA Muingereza, Tyson Fury amefanikiwa kutetea taji lake WBC uzito wa juu baada ya ushindi wa pointi dhidi ya Mfaransa mwenye asili ya Ca...
  Saturday, October 28, 2023
  SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 NA KUIKAMATA YANGA KWA POINTI

  SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 NA KUIKAMATA YANGA KWA POINTI

  TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Ben...
  BRENTFORD YAWACHAPA CHELSEA 2-0 PALE PALE STAMFORD BRIDGE

  BRENTFORD YAWACHAPA CHELSEA 2-0 PALE PALE STAMFORD BRIDGE

  WENYEJI, Chelsea wamechapwa Mabao 2-0 na Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao y...
  NAMUNGO FC YAICHAPA AZAM 3-1 PALE PALE CHAMAZI

  NAMUNGO FC YAICHAPA AZAM 3-1 PALE PALE CHAMAZI

  WENYEJI, Azam FC jana wamechapwa mabao 3-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jiji...
  Friday, October 27, 2023
  YANGA SC YAWACHAPA SINGIDA BIG STARS 2-0 ZOTE KAPIGA MAX

  YANGA SC YAWACHAPA SINGIDA BIG STARS 2-0 ZOTE KAPIGA MAX

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
  KMC YAAMBULIA SARE 1-1 NA TANZANIA PRISONS UHURU

  KMC YAAMBULIA SARE 1-1 NA TANZANIA PRISONS UHURU

  WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Uhuru...
  Thursday, October 26, 2023
  NYOTA WA ULAYA WAING’ARISHA TWIGA STARS KUFUZU OLIMPIKI 2024

  NYOTA WA ULAYA WAING’ARISHA TWIGA STARS KUFUZU OLIMPIKI 2024

  TIMU ya taifa ya wanawake ‘Twiga Starst’ imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Botswana mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili kufuzu Olimpi...
  MTIBWA SUGAR YAZINDUKA NA KUICHAPA GEITA GOLD 3-1

  MTIBWA SUGAR YAZINDUKA NA KUICHAPA GEITA GOLD 3-1

  TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manun...
  HAALAND APIGA MBILI MAN CITY YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  HAALAND APIGA MBILI MAN CITY YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  MABINGWA watetezi,  Manchester City FC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, BSC Young Boys katika mchezo wa Kundi G Ligi ya M...
  Wednesday, October 25, 2023
  DODOMA JIJI YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 JAMHURI

  DODOMA JIJI YAILAZA KAGERA SUGAR 1-0 JAMHURI

  BAO pekee la Christian Zigah dakika ya 40 limeipa Dodoma Jiji FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanza...
  COASTAL UNION YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 MKWAKWANI

  COASTAL UNION YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 MKWAKWANI

  TIMU ya Coastal Unión ya Tanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwan...
  MAGUIRE AFUNGA, ONANA AOKOA PENALTI MAN U YASHINDA ULAYA

  MAGUIRE AFUNGA, ONANA AOKOA PENALTI MAN U YASHINDA ULAYA

  WENYEJI, Manchester United jana wamepata ushindi wa kwanza katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuilaza Copenhagen 1-0...
  Tuesday, October 24, 2023
  Monday, October 23, 2023
  AZIZ KI APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA AZAM FC 3-2 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

  AZIZ KI APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA AZAM FC 3-2 NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU

  MABINGWA watetezi, Young Africans wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku hu...
  Sunday, October 22, 2023
  SARE ZATAWALA MECHI ZA LIGI KUU LRO MBEYA NA TABORA

  SARE ZATAWALA MECHI ZA LIGI KUU LRO MBEYA NA TABORA

  WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja...
  Saturday, October 21, 2023
  SINGIDA BIG STARS YAIPIGA NAMUNGU 3-2 MAJALIWA

  SINGIDA BIG STARS YAIPIGA NAMUNGU 3-2 MAJALIWA

  TIMU ya Singida Big Stars imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
  SALAH APIGA ZOTE LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 2-0 ANFIELD

  SALAH APIGA ZOTE LIVERPOOL YAICHAPA EVERTON 2-0 ANFIELD

  WENYEJI, Liverpool FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield Jijini L...
  AZAM ACADEMY YAANZA NA MOTO LIGI YA VIJANA U20, YANGA...

  AZAM ACADEMY YAANZA NA MOTO LIGI YA VIJANA U20, YANGA...

  TIMU ya Azam FC imeanza vyema Ligi ya Vijana U20 baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Tanzania Prisons leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi...
  PAMBA FC YAICHAPA TRANSIT CAMP 2-1, KEN GOLD NA MBEYA KWANZA HAZISHIKIKI

  PAMBA FC YAICHAPA TRANSIT CAMP 2-1, KEN GOLD NA MBEYA KWANZA HAZISHIKIKI

  TIMU ya Pamba FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Ligi ya NBC Championship leo Uwanja wa Nyamagana Ji...
  IHEFU SC YALAZIMISHWA SULUHU NA COASTAL UNION MBARALI

  IHEFU SC YALAZIMISHWA SULUHU NA COASTAL UNION MBARALI

  WENYEJI, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa H...
  VINCENT BARNABAS AREJEA YANGA KAMA KOCHA WA U20

  VINCENT BARNABAS AREJEA YANGA KAMA KOCHA WA U20

  KLABU ya Yanga SC imemtambulisha mchezaji wake wa zamani, Vincent Barnabas Salamba kuwa kocha wake mpya Mkuu wa timu yao ya vijana chini ya ...
  MAKOCHA AZAM ACADEMY WAZUIA KUFANYA KAZI LIGI YA VIJANA U20

  MAKOCHA AZAM ACADEMY WAZUIA KUFANYA KAZI LIGI YA VIJANA U20

  MAKOCHA wa timu ya vijana ya Azam FC, Mohamed Badru Juma na Msaidizi wake, Mwalu Hashim Ilunga wamezuiwa kufundisha timu hiyo katika Ligi ya...
  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA DODOMA JIJI NYANKUMBU

  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA DODOMA JIJI NYANKUMBU

  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top