• HABARI MPYA

  Thursday, December 28, 2023

  SHABIKI WA SIMBA SC, MAN UNITED ATAJIRIKA NA MILIONI 173 ZA M-BET


  SHABIKI wa
   klabu ya Simba na timu ya Manchester United ya England Seif Babu amefunga droo ya Perfect12 ya kampuni ya M-Bet kibabe baada ya kushinda Sh 173,056,020 kwa kubashiri matokeo ya mechi 12 za ligi mbalimbai duniani kwa usahihi.
  Babu ambaye ni mkazi wa Iringa, alisema kuwahaikuwa kazi rahisi kubashiri matokeo hayo pamoja naukweli kuwa kuna baadhi ya timu zimekuwa zikipatamatoeko tofautitena ya kushangaza.
  Mshindi huyo alifunguliwa akaunti na kuweka fedhahizo kwenye benki ya CRDB ambao inashikiana na M-Bet. 
  Alisema kuwa michezo mingi ya Ligi za mpira wamiguu imekuwa na matokeo ambayo  huwezi kutarajiana kupata changamoto kubwa wakati wa kukamilishamkeka wake.
  Nimebashiri kwa miezi kadhaa na nimekuwa nikaribiakushindaunapokosa unatakiwa usikate tamaahivyonilipopigiwa simu kuwa nimeshindaniliamini kuwamimi ni mshindi kwani mkeka wa M-Bet na odds zakeni za uhakika na nimeshuhudia washindi mbalimbaliwakizawadiwa fedhahii ni faraja kubwa sanakwangu,” alisema Babu ambaye alivaa kininja kwasababu za usalama.
  Alisema kuwa yeye ni mfanyabiashara ndogo ndogo naatatumia fedha hizo kwa ajili ya kuendeleza biasharayake na nyingine kuwekeza katika miradi mingine.
  Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Masoko waKampuni ya M-Bet, Allen Mushi kuwa Babu anakuwamshindi wa tano mwaka huu kushinda droo yaPerfect12 na kuifanya kampuni hiyo kutumia zaidi yaSh 880 milioni kuzawadia washindi mbalimbali mwakahuu.
  Mushi alisema kuwa M-Bet itaendelea kuwa nyumbaya mabingwa ambao wamefaidika na  mwaka huuambao unafikia ukingoni.
  Tumetoa washindi wengi mpaka sasa ambaowamejishindia mamilioni ya fedha na kuweza kubadilimaisha yao ya kila sikuNapenda kuwaambiamashabiki wa soka kuwa kubashiri siyo ajiraila niburundani na nawaomab kuzingatia hilo,” alisemaMushi.
  Wakati huo huomshindi huyo alipewa elimu yamatumizi mazuri ya fedha na benki ya CRDB chini yameneja wateja wa awali na wa kati, Amina Mawona.
  Mawona alisema kuwa CRDB inatoa firsa yauwekezaji kwa wateja wao kwa kuwapa elimu ilikuwezeka katika miradi ambayo inaleta tija.
   Mshindi wa Sh milioni 173 wa mchezo wa kubashiri wa Perfect12 wa kampuni ya M-Bet Tanzania, Seif Babu (katikatiakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya M-Bet Tanzania, Allen Mushi (wa kwanza kushotona Meneja wa wateja awali na wa kati wa benki ya CRDB, Amina Mawona.

  Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya M-Bet Tanzania Allen Mushi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi sh milioni 173 wa droo ya Perfect 12, Seif Babu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SHABIKI WA SIMBA SC, MAN UNITED ATAJIRIKA NA MILIONI 173 ZA M-BET Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top