• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 31, 2016
  LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD

  LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD

  Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool dakika ya nane ikiilaza 1-0 Manchester City katika mch...
  BEKI WA SIMBA AFIWA NA WATOTO WAKE WATATU SIKU MOJA

  BEKI WA SIMBA AFIWA NA WATOTO WAKE WATATU SIKU MOJA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM LICHA ya kufiwa na watoto wake wote watatu, beki wa Simba SC, Juuko Murshid leo amesafiri na kikosi cha ...
  ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY

  ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY

  Mshambuliaji Islam Slimani akiruka kuifungia kwa kichwa  Leicester City  dakika ya 20 bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham U...
  CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENGLAND

  CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENGLAND

  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa 13 mfululizo katika Ligi Kuu ya England baada ya kuilaza 4-2 Stoke City leo Uwanja wa S...
  POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND

  POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND

  Paul Pogba akiwaongoza wachezaji wenzake wa Manchester United kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 katika ushindi wa ...
  RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA NA AMANDA UFC

  RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA NA AMANDA UFC

  Ronda Rousey (kushoto) akiugulia maumivu baada ya pigo la  Amanda Nunes katika mchezo wa  UFC jana. Amanda alitumia sekunde 48 tu kummali...
  NGASSA AREJEA LIGI KUU LEO MBEYA CITY IKICHEZA NA MBAO SOKOINE

  NGASSA AREJEA LIGI KUU LEO MBEYA CITY IKICHEZA NA MBAO SOKOINE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa anarejea kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...
  SIMBA: MAVUGO, BLAGNON HAWAKUCHEZA MECHI SABABU NI WAGONJWA

  SIMBA: MAVUGO, BLAGNON HAWAKUCHEZA MECHI SABABU NI WAGONJWA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imetahadharisha haina tatizo lolote na wachezaji wake, Laudit Mavugo na Frederick Blagnon na kw...
  Ijumaa, Desemba 30, 2016
  HAJIB AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MISRI, AFUNGA MOJA HODOUD IKIUA 4-0

  HAJIB AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MISRI, AFUNGA MOJA HODOUD IKIUA 4-0

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Hajib Migomba leo amefunga bao moja timu ya Har...
  MICHO AMJUMUISHA JUUKO KIKOSI CHA AFCON 2017

  MICHO AMJUMUISHA JUUKO KIKOSI CHA AFCON 2017

  BEKI wa Simba Juuko Murshid amepenya kwenye kikosi cha mwisho cha Uganda kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Januari 201...
  AZAM FC YAZINDUKA, YAILAZA 1-0 PRISONS CHAMAZI

  AZAM FC YAZINDUKA, YAILAZA 1-0 PRISONS CHAMAZI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku wa jana imeiadabisha Tanzania Prisons kwa bao 1-...
  RONALDO AITIWA PAUNI MILIONI 1 KWA WIKI CHINA, AKATAA

  RONALDO AITIWA PAUNI MILIONI 1 KWA WIKI CHINA, AKATAA

  MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo ndiye nyota mpya anayetakiwa Ligi Kuu ya China na wakala wake, Jorge Mendes ametaja dau alilote...
  Alhamisi, Desemba 29, 2016
  SIMBA WALEEE, YANGA WANAISOMA NAMBA...RUVU AFA 1-0

  SIMBA WALEEE, YANGA WANAISOMA NAMBA...RUVU AFA 1-0

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM BAO pekee la kiungo Mohammed ‘Mo’ Ibrahim limetosha kuipa Simba ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu y...
  NGASSA SASA RUKSA KUCHEZA MBEYA CITY, ITC YAKE YAFIKA

  NGASSA SASA RUKSA KUCHEZA MBEYA CITY, ITC YAKE YAFIKA

  Na Mwandishi Wetu, MBEYA KIUNGO Mrisho Khalfan Ngassa sasa yuko huru kuchezea klabu yake mpya, Mbeya City ya hapa baada ya kupatiwa Hati y...
  FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA

  FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA

  Winga chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akiwa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana wakati anaondoka kw...
  SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND

  SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND

  Christian Eriksen akimrukia Harry Kane kumpongeza baada ya kuifungia bao la pili Tottenham dakika ya 52 kabla ya kukosa penalti dakika ya...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top