// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 04/01/2019 - 05/01/2019 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 04/01/2019 - 05/01/2019 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, April 29, 2019
    YANGA SC YAINYAMAZISHA AZAM FC UHURU, YAICHAPA 1-0 BAO PEKEE LA MRISHO NGASSA

    YANGA SC YAINYAMAZISHA AZAM FC UHURU, YAICHAPA 1-0 BAO PEKEE LA MRISHO NGASSA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyi...
    Sunday, April 28, 2019
    SAMATTA AISAIDIA KRC GENK KUIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KAA GENT UBELGIJI

    SAMATTA AISAIDIA KRC GENK KUIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA KAA GENT UBELGIJI

    Na Mwandishi Wetu, GENT MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amesaidia klabu yake, KRC Genk kuibuka na...
    MSUVA APIGA ZOTE MBILI DIFAA HASSAN EL-JADIDI YAICHAPA MOGHREB TETOUAN 2-0 MOROCCO

    MSUVA APIGA ZOTE MBILI DIFAA HASSAN EL-JADIDI YAICHAPA MOGHREB TETOUAN 2-0 MOROCCO

    Na Mwandishi Wetu, CASABLANCA WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amefunga mabao yote mawili timu yake, Difaa Hassan...
    Saturday, April 27, 2019
    ‘KAPTENI’ BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAITANDIKA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA

    ‘KAPTENI’ BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAITANDIKA BIASHARA UNITED 2-0 MUSOMA

    Na Mwandishi Wetu, MUSOMA SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya we...
    Friday, April 26, 2019
    KAMBUZI NA WENZAKE WALIOISAIDIA SIMBA SC DHIDI YA KMC JANA KIRUMBA WAFUNGIWA

    KAMBUZI NA WENZAKE WALIOISAIDIA SIMBA SC DHIDI YA KMC JANA KIRUMBA WAFUNGIWA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la SOka Tanzania (TFF) limewaondoa refa Abdallah Kambuzi na wasaidizi wake, Godfrey Msakila na...
    WACHEZAJI YANGA SC WAKUBALI KUANZA MAZOEZI KESHO BAADA YA MAZUNGUMZO NA UONGOZI

    WACHEZAJI YANGA SC WAKUBALI KUANZA MAZOEZI KESHO BAADA YA MAZUNGUMZO NA UONGOZI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga SC wamemaliza mgomo wao baada ya mazungumzo na Kamati ya Usimamizi wa timu chini ya Mw...
    ZAHERA AWAANDAA YANGA B KUIVAA AZAM FC BAADA YA ‘MAFAZA’ KUENDELEZA MGOMO LEO

    ZAHERA AWAANDAA YANGA B KUIVAA AZAM FC BAADA YA ‘MAFAZA’ KUENDELEZA MGOMO LEO

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mwinyi Zahera leo amewafanyisha mazoezi wachezaji wa timu ya vijana, maarufu kama Yang...
    TAIFA STARS KUJIPIMA NA MISRI JUNI 13 MJINI ALEXANDRIA MAANDALIZI YA AFCON 2019

    TAIFA STARS KUJIPIMA NA MISRI JUNI 13 MJINI ALEXANDRIA MAANDALIZI YA AFCON 2019

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki na Misri Juni 13, mwaka huu Uw...
    Thursday, April 25, 2019
    PAPY FATY AZIMIA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA ESWATINI

    PAPY FATY AZIMIA UWANJANI NA KUFARIKI DUNIA ESWATINI

    KIUNGO wa kimataifa wa Burundi, Papy Faty amefariki dunia miezi mitatu kabla ya nchi yake kushiriki fainali zake za kwanza za Kombe la Mata...
    SIMBA SC YAIGONGA KMC 2-1 KIRUMBA NA KUISHUSHA AZAM, SASA YAIPUMULIA YANGA SC

    SIMBA SC YAIGONGA KMC 2-1 KIRUMBA NA KUISHUSHA AZAM, SASA YAIPUMULIA YANGA SC

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa 2-1 KMC, zote z...
    MICHUANO YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 NA U15 YAENDESHWA NCHI NZIMA

    MICHUANO YA VIJANA CHINI YA UMRI WA MIAKA 17 NA U15 YAENDESHWA NCHI NZIMA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MICHUAO ya Ligi ya Wilaya kwa vijana chini ya umri wa miaka 15 (U15) na U17 inaendelea katika wilaya mbal...
    MECHI YA AZAM FC NA YANGA SC YAPELEKWA UWANJA WA UHURU BADALA YA TAIFA

    MECHI YA AZAM FC NA YANGA SC YAPELEKWA UWANJA WA UHURU BADALA YA TAIFA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO kati ya Azam FC na Yanga SC utafanyika Uwanja Uhuru badala ya Taifa mjini Dar es Salaam Aprili 29 ...
    Wednesday, April 24, 2019
    SHUGHULI PEVU NUSU FAINALI COPPA ITALIA LEO AC MILAN V LAZIO

    SHUGHULI PEVU NUSU FAINALI COPPA ITALIA LEO AC MILAN V LAZIO

    VIGOGO wa Serie A Juventus wameimiliki Coppa Italia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni na wameshinda mara nne mfululizo hadi msimu uliopita....

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top