• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 27, 2021
  NAMUNGO YAANZA VYEMA LIGI KUU

  NAMUNGO YAANZA VYEMA LIGI KUU

  TIMU ya Namungo FC imeanza vyema Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Geita Gold jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mjini Li...
  YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA

  YANGA WAWASILI KUIVAA KAGERA

  KIKOSI cha  Yanga kimewasili salama Bukoba mkoani Kagera leo baada ya kuondoka Dar es Salaam asubuhi ya leo, tayari kwa mchezo wao wa kwanza...
  SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA

  SIMBA WATUA MUSOMA KUIVAA BIASHARA

  KIKOSI cha Simba tayari kipo Musoma mkoani Mara baada ya safari ya ndege Dar-Mwanza na basi Mwanza- Musoma tayari kwa mchezo wake wa ufunguz...
  ARSENAL YAITANDIKA SPURS 3-1 EMIRATES

  ARSENAL YAITANDIKA SPURS 3-1 EMIRATES

  WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jumapili Uwanja wa Emirates Jij...
  Jumamosi, Septemba 25, 2021
  YANGA WAKIFURAHIA NA NGAO YAO LEO MKAPA

  YANGA WAKIFURAHIA NA NGAO YAO LEO MKAPA

  WACHEZAJI wa Yanga wakifurahia na Ngao yao ya Jamii baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya mahasimu, Yanga bao pekee la mshambuliaji Mkongo, Fisto...
  LIVERPOOL SARE 3-3 NA BRENTFORD

  LIVERPOOL SARE 3-3 NA BRENTFORD

  TIMU ya Liverpool imelazimisha sare ya 3-3 na wenyeji, Brentford FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Brentford Community m...
  LIGI YA CHAMPIONSHIP KUANZA OKTOBA 2

  LIGI YA CHAMPIONSHIP KUANZA OKTOBA 2

  BODI ya Ligi Kuu imetoa ratiba ya Ligi ya Ubingwa,  ijulikanayo kama Championship kuwania kupanda Ligi Kuu ambayo itaanza Oktoba 2 nchini.
  MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI

  MAN CITY YAICHAPA CHELSEA DARAJANI

   BAO pekee la Gabriel Jesus dakika ya 53 akimalizia pasi ya João Cancelo limewapa Manchester City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Chelsea l...
  BRUNO AKOSA PENALTI, MAN U YAPIGWA

  BRUNO AKOSA PENALTI, MAN U YAPIGWA

  KIUNGO Mreno, Bruno Fernandes amekosa penalti dakika ya 90 na ushei, Manchester United ikichapwa 1-0 nyumbani na Aston Villa bao pekee la Ko...
  Ijumaa, Septemba 24, 2021
  Alhamisi, Septemba 23, 2021
  MASHABIKI 50 WATAKIWA SAFARI YA STARS BENIN

  MASHABIKI 50 WATAKIWA SAFARI YA STARS BENIN

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa nafasi 50 kwa ajili ya mashabiki kwenda Benin kushuhudia mchezo wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia d...
  KAYOKO REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

  KAYOKO REFA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

  REFA chipukizi, Ramadhani Kayoko atachezesha mechi ya Ngao ya Jamii baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkap...
  WEST HAM SASA NA MAN CITY CARABAO

  WEST HAM SASA NA MAN CITY CARABAO

  BAADA ya kuitoa Manchester 1-0 kwa kuichapa 1-0 jana bao pekee la kiungo huyo Muargentina, Manuel Lanzini dakika ya tisa Uwanja wa Old Traff...
  GYNAH KATIKA USIKU WA KAHAWA

  GYNAH KATIKA USIKU WA KAHAWA

  MSANII chipukizi katika fani ya Muziki, Mavazi na Filamu, Regina Beraldo Kihwele a.k.a (Gynah) anatarajia kutambulisha Kazi zake za Sanaa ze...
  CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI

  CHELSEA YAFUZU KWA MATUTA DARAJANI

  TIMU ya Chelsea imetinga Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1...
  ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND

  ARSENAL YANG’ARA KOMBE LA LIGI ENGLAND

   TIMU ya Arsenal imetinga Raundi ya Nne ya michuano ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya AFC ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top