• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 31, 2017
  REKODI YA GUARDIOLA KUSHINDA MFULULIZO YAZIMWA SELHURST

  REKODI YA GUARDIOLA KUSHINDA MFULULIZO YAZIMWA SELHURST

  Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akiwahamasisha wachezaji wake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace leo...
  YANGA ‘ROJO ROJO’ KWA MBAO…YAPIGWA 2-0 KIRUMBA HADI AIBU

  YANGA ‘ROJO ROJO’ KWA MBAO…YAPIGWA 2-0 KIRUMBA HADI AIBU

  Na Mwandishi Wetu, MWANZA MBAO FC imeendeleza ubabe mbele ya Yanga baada ya ushindi wa mabao 2-0 leo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. ...
  MSUVA AREJEA NYUMBANI KWA MAPUMZIKO BAADA YA KAZI NZURI MOROCCO

  MSUVA AREJEA NYUMBANI KWA MAPUMZIKO BAADA YA KAZI NZURI MOROCCO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva anatarajiwa kurejea nchini Alhamisi kwa mapumziko y...
  AZAM FC WAANZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO

  AZAM FC WAANZA KUTETEA KOMBE LA MAPINDUZI LEO

  Na Salum Vuai, ZANZIBAR MABINGWA watetezi Kombe la Mapinduzi, Azam FC wanaanza kutetea taji la oleo kwa kumenyana na Mwenge kuanzia Saa 10...
   ATHUMANI MAMBOSASA ENZI ZAKE ALIKUWA KIPA HODARI NA MAHIRI

  ATHUMANI MAMBOSASA ENZI ZAKE ALIKUWA KIPA HODARI NA MAHIRI

  Kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) akiruka kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Kitwana Manara katika fainali ya K...
  Jumamosi, Desemba 30, 2017
  LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA

  LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akitolewa nje huku amefungwa kifaa maalum cha kupumulia dakika ya 14 tu baada ya kuumia ...
  MAN UNITED YATOA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON

  MAN UNITED YATOA SARE TENA, 0-0 NA SOUTHAMPTON

  Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba akifunga bao dakika ya 82 ambalo alifikiri lingekuwa la ushindi, lakini likakataliwa na refa kwa ...
  NSAJIGWA: JEURI YA MBAO TUTAIMALIZA KESHO KIRUMBA

  NSAJIGWA: JEURI YA MBAO TUTAIMALIZA KESHO KIRUMBA

  Na Abdallah Chaus, MWANZA  KOCHA Msaidizi wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nsajigwa Shadrack ‘Fuso’ amesema kwam...
  CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOKE CITY

  CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOKE CITY

  Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne kwa penalti dakika ya 73 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na  Geoff Cameron k...
  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1

  SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1

  Mshambuliaji Mohamed 'Mo' Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 na 76 Liverpool ikitoka nyuma kwa bao la ...
  SIMBA RAHA TUPU, YAIPIGA NDANDA 2-0 NA KURUDI KILELENI LIGI KUU

  SIMBA RAHA TUPU, YAIPIGA NDANDA 2-0 NA KURUDI KILELENI LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, MTWARA SIMBA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji,...
  Ijumaa, Desemba 29, 2017
  ARTHUR AFUNGA ‘BAO TAMU’ AZAM FC YAUA 3-0 NA KUPAA KILELENI LIGI KUU

  ARTHUR AFUNGA ‘BAO TAMU’ AZAM FC YAUA 3-0 NA KUPAA KILELENI LIGI KUU

  Na Salma Suleiman, DAR ES SALAAM AZAM FC imesogea juu kabisa ya msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi...
  SIMBA YAMTEMA KWASI SAFARI YA MTWARA, AAMBIWA ATAANZIA MAPINDUZI

  SIMBA YAMTEMA KWASI SAFARI YA MTWARA, AAMBIWA ATAANZIA MAPINDUZI

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM BEKI mpya wa kati wa Simba SC, Asante Kwasi raia wa Ghana hataweza kuanza kuichezea klabu hiyo kesho kat...
  KAGERA SUGAR WANAVYOIFUATA MBEYA CITY KWA KUJIAMINI

  KAGERA SUGAR WANAVYOIFUATA MBEYA CITY KWA KUJIAMINI

  Wachezaji wa Kagera Sugar wakiwa kwenye mapumziko mafupi wakati wa safari yao kwenda Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tan...
  SANCHEZ AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-2 UGENINI

  SANCHEZ AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-2 UGENINI

  Alexis Sanchez (kushoto) akishangilia na Laurent Koscielny baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 62 na 66 na kuiwezesha kushi...
  Alhamisi, Desemba 28, 2017
  MSUVAAAA….AFUNGA BAO PEKEE DIFAA WABEBA POINTI TATU LIGI YA MOROCCO

  MSUVAAAA….AFUNGA BAO PEKEE DIFAA WABEBA POINTI TATU LIGI YA MOROCCO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happugod Msuva leo limeipa ushindi wa 1-0 Difaa Hassan...
  WALIOSAJILIWA DIRISHA DOGO HATIHATI KUCHEZA LIGI KUU…HADI SASA HAWANA LESENI

  WALIOSAJILIWA DIRISHA DOGO HATIHATI KUCHEZA LIGI KUU…HADI SASA HAWANA LESENI

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wapya waliosajiliwa dirisha dogo watarahusiwa kuanza kucheza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanz...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top