• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 31, 2017
  RAYON YAMCHUKUA YANICK MUKUNZI KUTOKA APR

  RAYON YAMCHUKUA YANICK MUKUNZI KUTOKA APR

  Na Canisius Kagabo, KIGALI KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda, Yannick Mukunzi ameamua kuachana na timu ya Jeshi la Rwanda (APR) na kwenda urai...
  TFF YAMSAFISHA CHIRWA NA KUMRUHUSU KUCHEZA LIGI KUU, MSUVA APEWA ONYO

  TFF YAMSAFISHA CHIRWA NA KUMRUHUSU KUCHEZA LIGI KUU, MSUVA APEWA ONYO

  Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemruhusu kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Ob...
  NYOTA WA URENO AKWAMA KUJA KUJIUNGA NA TAIFA STARS

  NYOTA WA URENO AKWAMA KUJA KUJIUNGA NA TAIFA STARS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Orgenes Mollel (pichani kulia) wa FC Famalicao ya Ureno hataweza kuja kujiunga na kikosi ...
  KIDAU AITUPIA LAWAMA BODI YA LIGI KUBOMOLEWA KWA RATIBA LIGI KUU

  KIDAU AITUPIA LAWAMA BODI YA LIGI KUBOMOLEWA KWA RATIBA LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau ameitupia lawana Bodi ya Ligi juu y...
  ‘DIMBA MUSIC CONCERT KIVUMBI’ SI YA KUKOSA

  ‘DIMBA MUSIC CONCERT KIVUMBI’ SI YA KUKOSA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAANDALIZI ya Tamasha kubwa la muziki wa Dansi lijulikano kama 'Dimba Music Concert Kivumbi' lita...
  LIVERPOOL YAIPA PIGO LINGINE ARSENAL, YAMBEBA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN

  LIVERPOOL YAIPA PIGO LINGINE ARSENAL, YAMBEBA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN

  Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain akitabasamu na jezi ya klabu yake mpya, Liverpool baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 35 kutoka...
  Jumatano, Agosti 30, 2017
  APR YAMSAJILI MCHEZAJI ALIYEGOMA KUCHEZA BURE HISPANIA

  APR YAMSAJILI MCHEZAJI ALIYEGOMA KUCHEZA BURE HISPANIA

  Na Canisius Kagabo, KIGALI KLABU ya APR FC ya Rwanda, imemsajili beki chipukizi wa kulia Ombalenga Fitina (pichani kushoto) baada ya mip...
  KESI YA AVEVA, KABURU YAPIGWA KALENDA TENA, WARUDISHWA RUMANDE

  KESI YA AVEVA, KABURU YAPIGWA KALENDA TENA, WARUDISHWA RUMANDE

  Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM KESI inayowakabili viongozi viongozi wa klabu ya Simba, Rais Evans Elieza Aveva na Makamu wake, Geoffrey Ny...
  Jumanne, Agosti 29, 2017
  HATIMA YA CHIRWA WA YANGA KUJULIKANA KESHO

  HATIMA YA CHIRWA WA YANGA KUJULIKANA KESHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Mwenyekiti wake Tarimba Abbas, inataraji...
  MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO

  MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, anayechezea Difaa Hassan El-Jadida ya Morocco ataj...
  MBAO FC YAPATA UDHAMINI MWINGINE, GF TRUCKS WAMWAGA MILIONI 70 NA BASI ‘KALI’

  MBAO FC YAPATA UDHAMINI MWINGINE, GF TRUCKS WAMWAGA MILIONI 70 NA BASI ‘KALI’

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mbao FC ya Mwanza iliyo katika msimu wake wa pili tangu ipande Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara...
  Jumatatu, Agosti 28, 2017
  WACHEZAJI STARS WAINGIA KAMBINI, ‘MAPRO’ KUANZA KUWASILI KESHO

  WACHEZAJI STARS WAINGIA KAMBINI, ‘MAPRO’ KUANZA KUWASILI KESHO

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa na mchezo wa kirafiki wa kimataifa...
  DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI

  DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI

  Ousmane Dembele akifanyiwa vipimo vya afya mjini Barcelona, Hispania jana baada ya kuwasili kujiunga na timu yake hiyo mpya kufuatia ku...
  MSUVA APIGA BAO KOMBE LA MOROCCO, JADIDA YASHINDA 3-1

  MSUVA APIGA BAO KOMBE LA MOROCCO, JADIDA YASHINDA 3-1

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, jana ameisaidia timu yake, Difaa Hassan El-Jadida k...
  WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI

  WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI

  Mwanasoka Bora wa Ulaya na Dunia, Cristiano Ronaldo akiinua juu taji la Super Cup ya Ulaya kusherehekea pamoja na Kombe la La Liga walilo...
  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALENCIA

  REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALENCIA

  Lucas Vazquez wa Real Madrid akivuta mpira dhidi ya wachezaji wa Valencia katika mchezo wa La Liga jana Uwanja Bernabeu timu hizo zikitok...
  Jumapili, Agosti 27, 2017
  KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI

  KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO IKIKABWA KOROMEO NA LIPULI

  Mbunge wa Newala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika (kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top