• HABARI MPYA

  Friday, December 22, 2023

  UWANJA WA UHURU WAFUNGIWA, SIMBA YAHAMIA CHAMAZI


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeifungia Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kutokana na mapungufu kadhaa na kwa maana hiyo Simba SC mechi zake zitahamia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kuanzia dhidi ya KMC kesho.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UWANJA WA UHURU WAFUNGIWA, SIMBA YAHAMIA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top