// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-2 STAMFORD BRIDGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-2 STAMFORD BRIDGE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, December 04, 2023

  CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-2 STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea jana wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Venue Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea yamefungwa na Enzo Fernandez mawili dakika ya 17 na la penalti dakika ya 65 na Levi Colwill dakika ya 21, wakati ya Brighton & Hove Albion yamefungwa na Facundo Buonanotte dakika ya 43 na João Pedro dakika ya 90 na ushei.
  Kwa ushindi huo, Chelsea inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya 10, wakati Brighton & Hove Albion inabaki na pointi zake 22 nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA BRIGHTON 3-2 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top