• HABARI MPYA

    Tuesday, June 30, 2026
    NORWAY YAICHAPA IVORY COAST 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    NORWAY YAICHAPA IVORY COAST 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Norway imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ivory Coast usiku wa leo...
    MOSSI NDUWUMWE NDIYE MFUNGAJI BORA LIGI KUU 2025-2026

    MOSSI NDUWUMWE NDIYE MFUNGAJI BORA LIGI KUU 2025-2026

    KIUNGO mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi, Mossi Nduwumwe ameibuka Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu ...
    NI YANGA SC MABINGWA WA LIGI KUU MARA TANO MFULULIZO, MARA YA PILI

    NI YANGA SC MABINGWA WA LIGI KUU MARA TANO MFULULIZO, MARA YA PILI

    TIMU ya Yanga imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania jioni ya leo U...
    BRAZIL YAICHAPA JAPAN 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    BRAZIL YAICHAPA JAPAN 2-1 NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Brazil imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Japan usiku wa jana Uwanja wa ...
    Monday, June 29, 2026
    Sunday, June 28, 2026
    GHANA YAFUZU HATUA YA 16 LICHA YA KUCHAPWA 2-1 NA CROATIA

    GHANA YAFUZU HATUA YA 16 LICHA YA KUCHAPWA 2-1 NA CROATIA

    TIMU ya Ghana imefanikiwa kutinga Hatua ya 32 Bora Fainali za Kombe la Dunia licha ya kuchapwa mabao 2-1 na Croatia usiku wa kuamkia leo kat...
     MESSI AENDELEZA MOTO WA MABAO KOMBE LA DUNIA ARGENTINA IKIICHAPA JORDAN 3-1

    MESSI AENDELEZA MOTO WA MABAO KOMBE LA DUNIA ARGENTINA IKIICHAPA JORDAN 3-1

    TIMU ya Argentina imekamilisha mechi zake za Kundi J Fainali za Kombe la Dunia kwa kuichapa Jordan mabao 3-1 Alfajiri ya leo Uwanja wa AT...
    Saturday, June 27, 2026
    FEISAL AFUNGA BAO LA 15 AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 MWAKWANI

    FEISAL AFUNGA BAO LA 15 AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 MWAKWANI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    MPANZU, OURA WAFUNGA SIMBA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 MBWENI

    MPANZU, OURA WAFUNGA SIMBA YAICHAPA SINGIDA BLACK STARS 2-0 MBWENI

    VIGOGO Simba SC, wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo ...
    OKELLO APIGA HAT TRICK YANGA SC YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MWENGE

    OKELLO APIGA HAT TRICK YANGA SC YAICHAPA TRA UNITED 3-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelikaribia taji la tano mfululizo la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA...
    MISRI YAKAMILISHA SAFARI YA HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA

    MISRI YAKAMILISHA SAFARI YA HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Misri imefanikiwa kufuzu Hatua ya 32 Kombe la Dunia licha ya sare ya kufungana bao 1-1 na Iran katika mchezo wa Kundi G Asubuhi ya l...
    CAPE VERDE YASONGA MBELE BILA KUSHINDA WALA KUPOTEZA MECHI KOMBE LA DUNIA

    CAPE VERDE YASONGA MBELE BILA KUSHINDA WALA KUPOTEZA MECHI KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Cape Verde imefanikiwa kufuzu Hatua ya 32 Fainali za Kombe la Dunia licha ya sare ya bila kufungana na Saudi Arabia Alfajiri ya leo ...
    SENEGAL YAZINDUKA MECHI YA MWISHO NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    SENEGAL YAZINDUKA MECHI YA MWISHO NA KUSONGA MBELE KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Senegal imefanikiwa kufuzu Hatua ya 32 Kombe la Dunia kama moja ya washindi watatu Bora baada ya ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Iraq ...
    Thursday, June 25, 2026
    MOROCCO YAICHAPA HAITI 4-2 NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA KOMBE LA DUNIA

    MOROCCO YAICHAPA HAITI 4-2 NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA KOMBE LA DUNIA

    TIMU ya Morocco imefanikiwa kwenda Hatua ya 32 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Haiti usiku wa jana Uwa...
    Wednesday, June 24, 2026
    NGOY APIGA HAT-TRICK NAMUNGU YAICHAPA KMC 3-2 PALE PALE MWENGE

    NGOY APIGA HAT-TRICK NAMUNGU YAICHAPA KMC 3-2 PALE PALE MWENGE

    TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, KMC FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa...
    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-0 UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

    SIMBA SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-0 UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top