• HABARI MPYA

  Monday, December 18, 2023

  ARSENAL NA PORTO, MAN CITY NA COPENHAGEN 16 BORA LIGI YA MABINGWA


  TIMU ya Arsenal itamenyana na FC Porto ya Ureno katika Hatua ya 16 Bora ya michuano ya 69 ya UEFA Champions League, wakati wapinzani wao katika taji la Ligi Kuu ya England, Manchester City watamenyana na FC Copenhagen ya Denmark.
  Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa kati ya Februari 13, 14, 20 na 21 na za marudiano zitafuatia kati ya Machi 5, 6, 12 na 13 mwaka 2024.
  RATIBA KAMILI 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA:
  Porto (Ureno)         vs Arsenal (England)
  Napoli (Italia)         vs Barcelona (Hispania)
  PSG (Ufaransa) vs Real Sociedad (Hispania)
  Inter (Italia)         vs Atletico Madrid (Hispania)
  PSV (Uholanz) vs Borussia Dortmund (Ujerumani)
  Lazio (Italia)         vs Bayern Munich (Ujerumani)
  Copenhagen (Denmark) vs Man City (England)
  Leipzig (Ujerumani) vs Real Madrid (Hispania) 
  QUARTER-FINALS:
  The draw for the quarter-finals will be held on 15 March 2024, . The first legs will be played on 9 and 10 April, and the second legs will be played on 16 and 17 April 2024.
  SEMI-FINALS
  The draw for the semi-finals will be held on 15 March 2024, . The first legs will be played on 30 April and 1 May, and the second legs will be played on 7 and 8 May 2024.
  FINAL:
  The final will be played on 1 June 2024 at the Wembley Stadium in London. A draw will be held on 15 March 2024, after the quarter-final and semi-final draws, to determine the "home" team for administrative purposes. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL NA PORTO, MAN CITY NA COPENHAGEN 16 BORA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top