• HABARI MPYA

  Wednesday, June 30, 2021
  KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI

  KARIA KUGOMBEA URAIS WA TFF BILA MPINZANI BAADA YA WAGOMBEA WENGINE WOTE WAWILI KUENGULIWA KWENYE USAILI

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace John Karia atatetea nafasi yake bila upinzani katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Agos...
  Tuesday, June 29, 2021
  Monday, June 28, 2021
  TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

  TFF YASEMA MASHABIKI WAPYA 13782 NDIO WATAKAOUZIWA TIKETI KWA AJILI YA PAMBANO LA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI

   SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema tiketi 13782 mpya ndizo zitauzwa kwa ajili ya mchezo wa watani wa jadi Jumamosi Uwanja wa Benjam...
  Sunday, June 27, 2021
  WANACHAMA WA YANGA WAPITISHA MABADILIKO YA KATIBA KUELEKEA MFUMO MPYA WA UENDESHAJI KLABU YAO

  WANACHAMA WA YANGA WAPITISHA MABADILIKO YA KATIBA KUELEKEA MFUMO MPYA WA UENDESHAJI KLABU YAO

  WANACHAMA wa klabu ya Yanga kwa kauli moja leo wamepitisha Mabadiliko ya Katiba yatakayowawezesha kufanya marekebisho ya mfumo wa uendeshaji...
  Saturday, June 26, 2021
  SIMON MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD YALAZIMISHWA SARE NA KAIZER CHIEFS JOHANNESBURG NA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMON MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD YALAZIMISHWA SARE NA KAIZER CHIEFS JOHANNESBURG NA KUTOLEWA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva amecheza kipindi kimoja leo timu yake, Wydad Athletic ya Morocco ikilaz...
  DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020

  DENMARK YAISHINDILIA WALES 4-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI EURO 2020

  DENMARK wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Euro 2020 baada ya ushindi mnono wa 4-0 dhidi ya Wales leo Uwanja wa Johan Cruijff Arena Jijini ...
  SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC, KUKUTANA NA YANGA SC KATIKA FAINALI JULAI 25 KIGOMA

  SIMBA SC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUITUPA NJE ASFC, KUKUTANA NA YANGA SC KATIKA FAINALI JULAI 25 KIGOMA

  MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam...
  Friday, June 25, 2021
  CHIPUKIZI MWENYE KIPAJI MTANZANIA, KELVIN JOHN AJIUNGA NA TIMU YA ZAMANI YA SAMATTA, GENK HADI MWAKA 2024

  CHIPUKIZI MWENYE KIPAJI MTANZANIA, KELVIN JOHN AJIUNGA NA TIMU YA ZAMANI YA SAMATTA, GENK HADI MWAKA 2024

   MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Kelvin John Pius mwenye umri wa miaka 18 amejiunga  klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji baada ya...
  YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE TABORA

  YANGA SC YATINGA FAINALI ASFC BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0 BAO PEKEE LA YACOUBA SOGNE TABORA

  VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) b...
  Thursday, June 24, 2021
  RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI TANZANIA LEO UWANJA WA MABATINI MECHI YA LIGI KUU

  RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI TANZANIA LEO UWANJA WA MABATINI MECHI YA LIGI KUU

  RUVU Shooting imelazimishwa sare ya 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani P...
  KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUTIA ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA MIAKA MITANO KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

  KAMATI YA MAADILI YA TFF YAMFUTIA ADHABU YA KUMFUNGIA MWAKALEBELA MIAKA MITANO KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

   KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfutia adhabu ya kufungiwa miaka mitano kutojisjighulisha na soka pamoja na faini...
  Wednesday, June 23, 2021
  HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWANDOWSKI NJE

  HISPANIA NA SWEDEN ZATINGA 16 BORA EURO 2020, LEWANDOWSKI NJE

  HISPANIA imefuzu Hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Slovakia katika mchezo wa Kundi E wa Euro 2020 leo Uwanja wa Olímpico Jij...
  GWAMBINA FC YAPAMBANIA UHAI WAKE LIGI KUU TANZANIA BARA, YAJITUTUMIA KUCHAPA DODOMA JIJI 2-0 MISUNGWI

  GWAMBINA FC YAPAMBANIA UHAI WAKE LIGI KUU TANZANIA BARA, YAJITUTUMIA KUCHAPA DODOMA JIJI 2-0 MISUNGWI

  TIMU ya Gwambina FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Gwa...
  Tuesday, June 22, 2021
  SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 UWANJA WA MKAPA

  SIMBA SC YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAICHAPA MBEYA CITY 4-1 UWANJA WA MKAPA

   MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Mbeya City usiku huu Uwanj...
  TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION LEO SUMBAWANGA

  TANZANIA PRISONS YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION LEO SUMBAWANGA

  TANZANIA Prisons imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja w...
  Monday, June 21, 2021
  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGWA, KMC NA MTIBWA SUGAR WATOKA 1-1 UWANJA WA UHURU

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA NAMUNGO RUANGWA, KMC NA MTIBWA SUGAR WATOKA 1-1 UWANJA WA UHURU

   TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Majali...
  RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO

  RASMI TFF YATHIBITISHA TIMU NNE ZITASHIRIKI MICHUANO YA AFRIKA MSIMU UJAO, MBILI LIGI YA MABINGWA NA MBILI KOMBE LA SHIRIKISHO

   RASMI, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema timu nchini zitashiriki michuano ya Afrika mwakani, mbili Ligi ya Mabingwa na mbili Kombe...
  UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA

  UONGOZI WA YANGA SC WATAJA AJENDA 12 ZA MKUTANO WAKE WA JUNI 27 KUBWA KUPITIA MAPENDEKEZO YA MAREKEBISHO YA KATIBA

  UONGOZI wa Yanga SC umetaja ajenda 12 za Mkutano wake wa Juni 27 utakaofanyika ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, mkabala na Chuo cha DUCE Jijini ...
  Sunday, June 20, 2021
  YANGA SC YATUMIA DAKIKA MOJA YA MWISHO KUPATA MABAO MAWILI NA KUTOKA NYUMA KWA 2-1 NA KUSHINDA 3-2 DHIDI YA MWADUI FC DAR

  YANGA SC YATUMIA DAKIKA MOJA YA MWISHO KUPATA MABAO MAWILI NA KUTOKA NYUMA KWA 2-1 NA KUSHINDA 3-2 DHIDI YA MWADUI FC DAR

  WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin ...
  BIASHARA UNITED YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MUSOMA, KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA IHEFU KAITABA

  BIASHARA UNITED YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 MUSOMA, KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA IHEFU KAITABA

  BAO pekee la Abdulmajid Mangalo dakika ya 45 na ushei limewapa wenyeji, Biashara United ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo w...
  MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD NA KIPIGO CHA NYUMBANI KUTOKA KWA KAIZER CHIEFS CASABLANCA

  MSUVA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU WYDAD NA KIPIGO CHA NYUMBANI KUTOKA KWA KAIZER CHIEFS CASABLANCA

   KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva ametokea benchi na kushindwa kuiepusha timu yake, Wydad Athletic na kipi...
  Saturday, June 19, 2021
  MTIBWA SUGAR WATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA U20 KWA MARA YA TATU MFULULIZO BAADA YA KUICHAPA YANGA 2-1

  MTIBWA SUGAR WATWAA UBINGWA WA LIGI YA VIJANA U20 KWA MARA YA TATU MFULULIZO BAADA YA KUICHAPA YANGA 2-1

   TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi y...
  YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS

  YANGA SC YAACHANA NA KOCHA WA TIMU YAKE YA WANAWAKE, EDNA LEMA ALIYEOMBA MWENYEWE KUJIUZULU KAZI PRINCESS

  KOCHA wa timu ya wanawake ya Yanga, Yanga Princess, Edna Lema amejiuzulu nafasi hiyo baada ya misimu mawili ya kuiongoza timu hiyo. Kwa muji...
  SIMBA B YATWAA NAFASI YA TATU LIGI KUU YA VIJANA U20 BAADA YA KUIPIGA AZAM AKADEMI KWA MATUTA CHAMAZI

  SIMBA B YATWAA NAFASI YA TATU LIGI KUU YA VIJANA U20 BAADA YA KUIPIGA AZAM AKADEMI KWA MATUTA CHAMAZI

  TIMU ya Simba SC ilifanikiwa kumaliza nafasi ya tatu katika Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 baada ya ushindi wa penalti 4-1 kuf...
  LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 JIJINI MWANZA

  LUIS MIQUISSONE AFUNGA BAO PEKEE CCM KIRUMBA SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 JIJINI MWANZA

  MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwa...
  Friday, June 18, 2021
  IDDI NADO NA MPIANA MONZINZI KILA MMOJA AFUNGA MABAO MAWILI AZAM FC YAICHAPA GWAMBINA FC 4-1 CHAMAZI

  IDDI NADO NA MPIANA MONZINZI KILA MMOJA AFUNGA MABAO MAWILI AZAM FC YAICHAPA GWAMBINA FC 4-1 CHAMAZI

   WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex. Chamaz...
  MBEYA CITY YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO MECHI YA LIGI KUU BARA UWANJA WA SOKOINE

  MBEYA CITY YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO MECHI YA LIGI KUU BARA UWANJA WA SOKOINE

  TIMU ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoi...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top