• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 30, 2016
  BALE AING'ARISHA UGENINI REAL MADRID LA LIGA

  BALE AING'ARISHA UGENINI REAL MADRID LA LIGA

  Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale (katikati) akienda hewani dhidi ya mabeki wa Real Sociedad kuifungia bao pekee timu yake katika ushindi...
  ARSENAL YAILAZA 1-0 NORWICH CITY LIGI KUU ENGLAND

  ARSENAL YAILAZA 1-0 NORWICH CITY LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud (kulia) akijaribu kumvisha kanzu bila mafanikio beki wa Norwich, Ivo Pinto katika mchezo wa Lig...
  YANGA HAIKAMATIKI BWANA WEE, TOTO YAFA 2-1 KIRUMBA….UBINGWA NJIA MOJA JANGWANI

  YANGA HAIKAMATIKI BWANA WEE, TOTO YAFA 2-1 KIRUMBA….UBINGWA NJIA MOJA JANGWANI

  Na Prince Akbar, MWANZA YANGA SC imezidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji To...
  Ijumaa, Aprili 29, 2016
  LIVERPOOL YAGONGWA KIDUDE EL MADRIGAL, SEVILLA YAPATE SARE UGENINI

  LIVERPOOL YAGONGWA KIDUDE EL MADRIGAL, SEVILLA YAPATE SARE UGENINI

  Tomas Pina (kushoto) wa Villarreal akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Philippe Coutinho wa Liverpool katika Nusu Fainali ya kwanza ya E...
  Alhamisi, Aprili 28, 2016
  DIEGO SIMEONE AFUNGIWA MECHI ZOTE ZILIZOBAKI LA LIGA

  DIEGO SIMEONE AFUNGIWA MECHI ZOTE ZILIZOBAKI LA LIGA

  KOCHA Mkuu wa Atletico Madrid, Diego Simeone (pichani kulia) amefungiwa kukaa kwenye benchi kwa mechi zote tatu zilizobaki za timu yake k...
  YANGA HAKUNA KULALA, TAYARI WAPO MWANZA KWA AJILI YA TOTO LAO JUMAMOSI

  YANGA HAKUNA KULALA, TAYARI WAPO MWANZA KWA AJILI YA TOTO LAO JUMAMOSI

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM YANGA SC imeondoka asubuhi ya leo kwa ndege kwenda Mwanza kwa ajili ya mechi zake mbili mfululizo za Ligi K...
  FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO VYA MOYO, YUSSUF BAKHRESA AUNGANA NAYE HISPANIA

  FARID MUSSA AFANYIWA VIPIMO VYA MOYO, YUSSUF BAKHRESA AUNGANA NAYE HISPANIA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM BAADA ya kumfanyia majaribio ya siku tatu, klabu ya ya Deportivo Tenerife ya Ligi Daraja la Pili Hispani...
  Jumatano, Aprili 27, 2016
  ATLETICO MADRID YAIKALISHA BAYERN MUNICH VICENTE CALDERON

  ATLETICO MADRID YAIKALISHA BAYERN MUNICH VICENTE CALDERON

  Nyota wa Atletico Madrid, Saul Niguez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Bayern Munich ya...
  TFF YAITHIBITISHA YANGA FAINALI ASFC, MAREFA WAFUNGIWA

  TFF YAITHIBITISHA YANGA FAINALI ASFC, MAREFA WAFUNGIWA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imeithibitisha Yanga SC kuingia fainali ya mic...
  TYSON FURY AVUA NGO KUMUONYESHA 'MANYAMA UZEMBE' KLITSCHKO

  TYSON FURY AVUA NGO KUMUONYESHA 'MANYAMA UZEMBE' KLITSCHKO

  BONDIA Tyson Fury leo amevua fulana yake kuonyesha kitambi chake huku akimkandia mpinzani wake,  Wladimir Klitschko  kwa kujiruhusu kupigwa...
  AZAM FC YAIPIGA KUMBO SIMBA MBIO ZA UBINGWA, YAICHAPA 2-0 MAJIMAJI CHAMAZI

  AZAM FC YAIPIGA KUMBO SIMBA MBIO ZA UBINGWA, YAICHAPA 2-0 MAJIMAJI CHAMAZI

  AZAM FC imeipiga kumbo Simba SC katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-0 jioni ya leo dhid...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top