// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 11/01/2020 - 12/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 11/01/2020 - 12/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, November 30, 2020
    AZAM FC YATANGULIA KIPINDI CHA KWANZA, BIASHARA UNITED WACHOMOA KIPINDI CHA PILI, 1-1

    AZAM FC YATANGULIA KIPINDI CHA KWANZA, BIASHARA UNITED WACHOMOA KIPINDI CHA PILI, 1-1

    AZAM FC imetoa sare ya 1-1 na wenyeji, Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume Musoma mkoan...
    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0, KUMENYANA NA UGANDA FAINALI CECAFA U-20

    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0, KUMENYANA NA UGANDA FAINALI CECAFA U-20

    TANZANIA imefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa vijana chini ya umri wa miaka 2...
    MSHAMBULIAJI TEGEMEO WA AZAM FC, PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOKWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

    MSHAMBULIAJI TEGEMEO WA AZAM FC, PRINCE DUBE MPUMELELO ALIVYOKWENDA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

      Mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo, akiwa safarini kuelekea nchini Afrika Kusini jana alfajiri, kufanyiwa matibabu ya mkono wa...
    Sunday, November 29, 2020
     POLISI TZ YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION MOSHI, PRISONS YAICHAPA MWADUI FC 2-0 SUMBAWANGA

    POLISI TZ YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA COASTAL UNION MOSHI, PRISONS YAICHAPA MWADUI FC 2-0 SUMBAWANGA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Polisi Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana 1-1 na Coastal Union ya Tanga jioni ya leo Uwanja w...
    MLANDEGE YACHAPWA 5-0 NA CS SFAXIEN YA TUNISIA PALE PALE ZANZIBAR LIGI YA MABINGWA

    MLANDEGE YACHAPWA 5-0 NA CS SFAXIEN YA TUNISIA PALE PALE ZANZIBAR LIGI YA MABINGWA

    Na Mwandishi Wetu, ZANZIBAR TIMU ya Mlandege FC ya Zanzibar imeanza vibaya michuano ya Afrika, baada ya kuchapwa 5-0 na CS Sfaxien ya Tunisi...
    Saturday, November 28, 2020
    NAMUNGO FC WAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI

    NAMUNGO FC WAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASUDAN KUSINI 3-0 CHAMAZI

    TIMU ya Namungo FC imeanza vyema Kombe la Shirikisho baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Al Rabita ya Sudan Kusini usiku wa leo Uwanja wa Azam ...
    MAHREZ APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0 ETIHAD

    MAHREZ APIGA HAT TRICK MAN CITY YAICHAPA BURNLEY 5-0 ETIHAD

    Nyota wa Algeria, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Manchester City dakika za sita 22 na 69 katika ushindi wa 5-0 dh...
    VAR YAKATAA MABAO YA SALAH, MANE LIVERPOOL SARE 1-1 NA BRIGHTON

    VAR YAKATAA MABAO YA SALAH, MANE LIVERPOOL SARE 1-1 NA BRIGHTON

    Kiungo Pascal Gross akiifungia Brighton & Hove Albion bao la kusawazisha kwa penalti dakika ya 90 na ushei katika sare ya 1-1 na Liverpo...
    KASEKE TENA, YANGA SC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 NA KUJINAFASI KILELENI LIGI KUU TZ BARA

    KASEKE TENA, YANGA SC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 NA KUJINAFASI KILELENI LIGI KUU TZ BARA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imejiweka sawa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya ...
    SIMBA SC WAKIJIFUA MJINI JOS KABLA YA KUWAVAA PLATEAU UNITED KESHO KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    SIMBA SC WAKIJIFUA MJINI JOS KABLA YA KUWAVAA PLATEAU UNITED KESHO KATIKA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    Beki wa Simba SC, Josh Onyango akiwa mazoezini leo mjini Jos, Nigeria wakijiandaa na mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Af...
    KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME

    KIKOSI CHA AZAM FC KILIVYOWASILI MUSOMA LEO TAYARI KUWAVAA BIASHARA UNITED JUMATATU KARUME

      Kipa wa Azam FC, David Mapigano  kisu baada ya kikosi cha Azam FC kuwasili mjini Musoma mkoani= Mara leo mchana tayari kwa mchezo wake wa ...
    CAF YARUHUSU MASHABIKI ASILIMIA 50 KUINGIA MECHI ZA MICHUANO YA AFRIKA ZA KLABU ZA TANZANIA

    CAF YARUHUSU MASHABIKI ASILIMIA 50 KUINGIA MECHI ZA MICHUANO YA AFRIKA ZA KLABU ZA TANZANIA

      SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeridhia asilimia 50 ya mashabiki kuingia uwanjani kushuhudia michezo ya Raundi ya Awali michuano ya Afr...
    IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI

    IBRAHIM CLASS AMSHINDA KWA POINTI MZAMBIA NA KUTETEA TAJI

    Refa akimuinua mkono Bondia Mtanzania, Ibrahim Class baada ya kumshinda kwa pointi, Mzambia Mzambia, Simon Ngoma kwenye pambano la Raundi 10...
    Friday, November 27, 2020
    KIKAO CHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI NDANI YA YANGA SC CHAFANA LEO

    KIKAO CHA MCHAKATO WA MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI NDANI YA YANGA SC CHAFANA LEO

      Wajumbe katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kupitia ripoti ya mapendekezo ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga yan...
    SIMBA SC WALIVYOWASILI JOS LEO TAYARI KUWAVAA WENYEJI, PLATEAU UNITED JUMAPILI LIGI YA MABINGWA

    SIMBA SC WALIVYOWASILI JOS LEO TAYARI KUWAVAA WENYEJI, PLATEAU UNITED JUMAPILI LIGI YA MABINGWA

      Washambuliaji tegemeo wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kulia) na Mnyarwanda Meddie Kagere (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa J...
    ARSENAL YAICHAPA MOLDE FK 3-0 NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE

    ARSENAL YAICHAPA MOLDE FK 3-0 NA KUTINGA 32 BORA EUROPA LEAGUE

    Arsenal imefanikiwa kutinga hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Molde FK, mabao ya  Nicolas ...
    Thursday, November 26, 2020
     AZAM FC YAWATUPIA VIRAGO MAKOCHA WAKE WAROMANIA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA SC JANA

    AZAM FC YAWATUPIA VIRAGO MAKOCHA WAKE WAROMANIA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA SC JANA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imefikia makubaliano ya kuachaana na kocha wake, Aristica Cioaba pamoja na Msaidizi wake m...
    BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI

    BALOZI WA TANZANIA NCHINI NIGERIA AWATEMBELEA SIMBA SC KUELEKEA MECHI NA PLATEAU UNITED JUMAPILI

    Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dk. Benson Bana ametembelea kambi ya Simba SC Jijini Abuja, Nigeria na kuzungumza na viongozi na wachezaj...
    NGORONGORO HEROES YAITANDIKA SOMALIA 8-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA U-20 KIBABE

    NGORONGORO HEROES YAITANDIKA SOMALIA 8-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI CECAFA U-20 KIBABE

    Wachezaji wa Tanzania wakipongezana kwa ushindi wa 8-1 dhidi ya Somalia kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black ...
    PRINCE DUBE KUPELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU BAADA YA KUUMIA DHIDI YA YANGA JANA

    PRINCE DUBE KUPELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU BAADA YA KUUMIA DHIDI YA YANGA JANA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo, aliyeumia kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania B...
    SIMBA SC WAWASILI SALAMA ABUJA TAYARI KUWAVAA PLATEAU UNITED JUMAPILI NIGERIA

    SIMBA SC WAWASILI SALAMA ABUJA TAYARI KUWAVAA PLATEAU UNITED JUMAPILI NIGERIA

    KIKOSI cha wachezaji 24 kimewasili salama Abuja, Nigeria jana jioni kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afr...
    BAYERN MUNICH WAENDA 16 BORA BAADA YA KUICHAPA SALZBURG 3-1

    BAYERN MUNICH WAENDA 16 BORA BAADA YA KUICHAPA SALZBURG 3-1

    MABINGWA watetezi, Bayern Munich wamejihakikishia kwenda Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya RB Salzburg kati...
    REAL YAICHAPA INTER MILAN 2-0 NA KUITUPA NJE LIGI YA MABINGWA

    REAL YAICHAPA INTER MILAN 2-0 NA KUITUPA NJE LIGI YA MABINGWA

    Real Madrid imeichapa Inter Milan 2-0, mabao ya Eden Hazard kwa penalti dakika ya saba na Rodrygo dakika ya 59 katika mchezo wa Kundi B Ligi...
    Wednesday, November 25, 2020
    KASEKE AFUNGA BAO PEKEE CHAMAZI YANGA SC WAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU

    KASEKE AFUNGA BAO PEKEE CHAMAZI YANGA SC WAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU

    Na Mwandishi Wetu,  DAR ES SALAAM VIGOGO, Yanga SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji...
    NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA ADDIS ABABA LEO ASUBUHI KUWAFUATA PLATEAU UNITED ABUJA

    NYOTA WA SIMBA SC WALIVYOONDOKA ADDIS ABABA LEO ASUBUHI KUWAFUATA PLATEAU UNITED ABUJA

    Wachezaji wa Simba SC wakienda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Boli Addis Ababa, Ethiopia tayari kuunganisha ndege kwenda Abuja, Nigeria kwa...
    HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA CLUB BRUGGE 3-0

    HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAIPIGA CLUB BRUGGE 3-0

    Erling Haaland akishangilia na Jadon Sancho baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge kwenye mche...
    RONALDO AFUNGA JUVENTUS YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 TORINO

    RONALDO AFUNGA JUVENTUS YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 TORINO

    Cristiano Ronaldo akinyoosha kidole kwenye benchi lao baada ya kuifungia Juventus bao la kusawazisha dakika ya 35, kabla ya Alvaro Morata ku...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top