• HABARI MPYA

  Jumapili, Oktoba 31, 2021
  SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL

  SIMBA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA COASTAL

  MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo U...
  DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI

  DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI

  MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Dk Mshindo Mbette Msolla ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Bodi ya Ligi Tanzania kwa kile kilichoelezwa hajakidhi...
  MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0

  MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0

  TIMU ya Manchester United imezinduka na kuichapa Tottenham Hotspur mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa  Tottenham Hotsp...
  Jumamosi, Oktoba 30, 2021
  YANGA YAIKUNG'UTA AZAM FC 2-0

  YANGA YAIKUNG'UTA AZAM FC 2-0

  MABAO ya washambuliaji Wakongo, Fiston Kalala Mayele na Jesus Ducapel Moloko yameipa Yanga SC ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo ...
  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES

  CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES

  TIMU ya Chelsea imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya England baada ya kuwachapa wenyeji, Newcastle United mabao 3-0 leo Uwanja wa...
  ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER

  ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER

  MABAO ya Gabriel Magalhães dakika ya tano na  Emile Smith Rowe dakika ya 18 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City ...
  CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD

  CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD

  MABAO ya Wilfried Zaha ya sita na Conor Gallagher dakika ya 88 yameipa Crystal Palace ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo ...
  LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON

  LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON

  WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 2-2 na Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Live...
  DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU

  DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU

  TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo pia kuchapwa 1-0 na Dodoma Jiji FC bao pekee la...
  Ijumaa, Oktoba 29, 2021
  KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 UHURU

  KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 UHURU

  BAO la Meshack Abraham dakika ya 16 limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, KMC jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Sal...
  Alhamisi, Oktoba 28, 2021
  LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI

  LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI

  TIMU ya Liverpool imetinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Preston North End usiku huu Uwanj...
  WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA

  WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA

  WENYEJI, West Ham United wametinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya kuitoa Manchester City kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-...
  Jumatano, Oktoba 27, 2021
  SIMBA SC YAPOZA MACHUNGU YA GALAXY

  SIMBA SC YAPOZA MACHUNGU YA GALAXY

  MABINGWA watetezi, Simba SC wamefuta machozi ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mch...
  BIASHARA YAICHAPA PRISONS 3-0 SUMBAWANGA

  BIASHARA YAICHAPA PRISONS 3-0 SUMBAWANGA

  TIMU ya Biashara United imewachakaza wenyeji, Tanzania Prisons mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nels...
  CHELSEA YAITOA SOUTHAMPTON KWA MATUTA

  CHELSEA YAITOA SOUTHAMPTON KWA MATUTA

  WENYEJI, Chelsea wamefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Southampton kufuatia sa...
  Jumanne, Oktoba 26, 2021

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top