• HABARI MPYA

  Jumatatu, Desemba 30, 2019
  YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0

  YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0...
  MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

  MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC

  Mshambuliaji wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC ...
  DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0

  DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0

  Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza...
  Jumapili, Desemba 29, 2019
  CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES

  CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES

  Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 2-1 katika mche...
  MANE AFUNGA BAO PEKEE LIVERPOOL YAILAZA WOLVES 1-0 ANFIELD

  MANE AFUNGA BAO PEKEE LIVERPOOL YAILAZA WOLVES 1-0 ANFIELD

  Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 49 ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 ...
  MAN UNITED YASHINDA 2-0 NA KUPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND

  MAN UNITED YASHINDA 2-0 NA KUPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND

  Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Burnley, mabao ya Anthony Martial dakika ya 44 na Marcu...
  KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA

  KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA

  WACHEZAJI wa kikosi cha Sigara FC kabla ya moja ya mechi zake mwaka 1991 kutoka kulia waliosimama; Patrick Mwangata, Idd Nassoro ‘Cheche’...
  Ijumaa, Desemba 27, 2019
  YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SAMORA

  YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SAMORA

  Na Mwandishi Wetu, IRINGA YANGA SC imepanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ...
  MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STELLENBOSCH YA LIGI KUU AFRIKA KUSINI

  MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STELLENBOSCH YA LIGI KUU AFRIKA KUSINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika...
  LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER 4-0 PALE PALE KING POWER

  LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER 4-0 PALE PALE KING POWER

  Beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold akishangilia kibabe mbele ya mashabiki wao baada ya kufunga bao la nne dakika ya 78 akimalizia ...
  Alhamisi, Desemba 26, 2019
  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH

  ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH

  Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akimtoka Mcolombia, Jefferson Lerma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Vitality mjini AFC Bournemouth....
  CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI

  CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI

  Nathan Redmond akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la pili dakika ya73 kufuatia Michael Obafemi kufunga ka kwanza d...
  MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1

  MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1

  Anthony Martial akishangilia baada ya kuifunga mabao mawili Manchester United dakika za 24 na 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Newcastle...
  MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

  MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na Yanga SC ya Dar es Salaam uliok...
  MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

  MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa kufuzu Kombe la Dunia Uganda dhidi ya Tanzania Wanawake U20 utachezeshwa na Waamuzi kutoka Buru...
  Jumatano, Desemba 25, 2019
  SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA BARA, YAITANDIKA LIPULI FC 4-0 UHURU

  SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA BARA, YAITANDIKA LIPULI FC 4-0 UHURU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ‘dozi’ baada ya leo kuwachapa Lipuli FC ya Iringa 4-0 katika mch...
  Jumanne, Desemba 24, 2019
  NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI

  NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI

  Katibu Mkuu Dk. David Ruhago leo akimkaribisha mchezaji Ditram Nchimbi kwenye makao Makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam leo, ta...
  ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA

  ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA

  Winga Athanas Mdamu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na timu hiyo akitoke...
  FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUENDELEA KUICHEZEA AZAM FC HADI MWAKA 2022

  FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUENDELEA KUICHEZEA AZAM FC HADI MWAKA 2022

  Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo 'Chumvi' akisaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwak...
  YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YATOKA 0-0 NA MBEYA CITY LEO SOKOINE

  YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YATOKA 0-0 NA MBEYA CITY LEO SOKOINE

  Na Mwandishi Wetu, MBEYA YANGA SC imetoa sare ya pili mfululizo leo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kumaliza mchezo bila kufunga...
  Jumatatu, Desemba 23, 2019
  AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA MICHUANO YA ASFC

  AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA MICHUANO YA ASFC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Azam FC wamekamilisha Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maa...
  SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

  SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi nusu saa ya mwisho, timu ...
  Jumapili, Desemba 22, 2019
  WILLIAN APIGA ZOTE MBILI KUMNYAMAZISHA MOURINHO

  WILLIAN APIGA ZOTE MBILI KUMNYAMAZISHA MOURINHO

  Willian akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 12 akimalizia pasi ya Mateo Kovac na ya 45 na ushei...
  DE GEA 'ATOA BOKO' MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD

  DE GEA 'ATOA BOKO' MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD

  Kipa wa Manchester United,  David de Gea akisikitika baada ya kufanya makosa yaliyomuwezesha Ismaila Sarr kuifungia Watford bao la kwanza...
  SIMBA SC YAFANYA ‘MAUWAJI’ AZAM SPORTS FEDERATION CUP, YAITANDIKA AFC ARUSHA 6-0 DAR

  SIMBA SC YAFANYA ‘MAUWAJI’ AZAM SPORTS FEDERATION CUP, YAITANDIKA AFC ARUSHA 6-0 DAR

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imefanikiwa kuvuka Hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top