• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 31, 2020
  YANGA SC YALAANI VIKALI KITENDO CHA MASHABIKI WAKE KUMFANYIA FUJO SHABIKI WA SIMBA SC

  YANGA SC YALAANI VIKALI KITENDO CHA MASHABIKI WAKE KUMFANYIA FUJO SHABIKI WA SIMBA SC

  KLABU ya Yanga SC ya Dar es Salaam imelaani vikali kitendo cha mashabiki wake, kumfanya fujo shabiki wa timu pinzani, Simba SC.
  POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC

  POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC

  Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea...
  YACOUBA SOGNE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 BAADA YA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE YANGA SC

  YACOUBA SOGNE AKABIDHIWA JEZI NAMBA 10 BAADA YA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE YANGA SC

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwa ameshka jezi namba 10 baada ya kukabidhiwa leo kufuatia kukamilisha uhamis...
  HAMAD HILIKA ASAJILIWA MTIBWA SUGAR NA KUFUNGA MABAO MAWILI KATIKA USHINDI WA 6-2 LEO GAIRO

  HAMAD HILIKA ASAJILIWA MTIBWA SUGAR NA KUFUNGA MABAO MAWILI KATIKA USHINDI WA 6-2 LEO GAIRO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kumsajili mshambuliaji Ibrahim Hamad Ahmada 'Hilika' kutoka Zi...
  LUIS MIQUISSONE APIGA HAT TRICK SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIK SHEIKH AMRI ABED

  LUIS MIQUISSONE APIGA HAT TRICK SIMBA SC YAITANDIKA ARUSHA FC 6-0 MECHI YA KIRAFIK SHEIKH AMRI ABED

  Kiungo wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji (kulia) akishangilia bada ya kuifungia timu yake hiyo mabao matatu dakika za 64, 76 ...
  MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC

  MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwapungia mkono huku amebeba bendera mashabiki wa Yanga SC baada ya kuwasili U...
  MTIBWA SUGAR YASAJILI WENGINE WAWILI JUMA NYANGI NA ABUBAKAR AME NA KUFIKISHA SABA WAPYA JUMLA

  MTIBWA SUGAR YASAJILI WENGINE WAWILI JUMA NYANGI NA ABUBAKAR AME NA KUFIKISHA SABA WAPYA JUMLA

  KLABU ya Mtibwa Sugar imemsajili kiungo wa kati Juma Nyangi Ganabali kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja kwa mkataba wa miaka m...
  Jumapili, Agosti 30, 2020
  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA TANZANIA PRISONS LEO CHAMAZI

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA TANZANIA PRISONS LEO CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Richard Ella D'jodi akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Tanzania Prisons katika mchezo wa kirafiki leo Uwan...
  YANGA SC YAWACHAPA AIGLE NOIR 2-0 MKAPA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

  YANGA SC YAWACHAPA AIGLE NOIR 2-0 MKAPA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Burundi, Aigle N...
  MORRISON ASETI LA KWANZA, APIGA LA PILI SIMBA YAICHAPA NAMUNGO 2-0 NA KUTWAA NGAO YA JAMII YA SITA

  MORRISON ASETI LA KWANZA, APIGA LA PILI SIMBA YAICHAPA NAMUNGO 2-0 NA KUTWAA NGAO YA JAMII YA SITA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa mataji yote nchini, Simba SC wamefanikiwa kutwaa na Ngao ya Jamii baaa ya ushindi wa 2-0 dhid...
  Jumamosi, Agosti 29, 2020
  CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA

  CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA

  Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujianda...
  RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA

  RALLY BWALYA NA MAFUNDI WENGINE MAZOEZINI SIMBA SC LEO IKIJIANDAA KUIVAA NAMUNGO FC KESHO ARUSHA

  Kiungo mpya wa Simba SC, Mzambia Rally Bwalya akifanya vitu vyake kwenye mazoezi ya timu hiyo leo kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii ke...
  ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO

  ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO

  Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jij...
   MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU, NOVATUS DISSMAS AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2023

  MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU, NOVATUS DISSMAS AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2023

  Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita, Novatus Dissmas akiwa na Biashara United alipokuwa anacheza kwa mkop...
  GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

  GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

  KLABU ya Geita Gold FC leo imemtangaza rasmi Freddy Felix Minziro (kushoto) kuwa Kocha wake mpya atakayeiongoza timu hiyo katika jaribio ...
   KOCHA MPYA, ZLATKO AWASILI DAR TAYARI KUSAINI MKATABA NA KUANZA KAZI YANGA SC

  KOCHA MPYA, ZLATKO AWASILI DAR TAYARI KUSAINI MKATABA NA KUANZA KAZI YANGA SC

  MSERBIA Zlatko Krmpotic akiwa na Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli baada ya kuwasili Dar es Salaam leo kutoka kwao Yugoslavi...
  SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA

  SERIKALI YAZIRUHUSU KLABU ZA SOKA NCHINI KUTUMIA WAGENI WASIO NA VIBALI WAKATI HUU LIGI KUU HAIJAANZA

  SERIKALI imezitoa hofu klabu za soka Tanzania kuhusu wachezaji na makocha wa kigeni iliyowaajiri kwamba zinaweza kuwatuma wakati huu Ligi...
  TWAHA KIDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI ZA MAJAJI WOTE

  TWAHA KIDUKU AMSHINDA DULLAH MBABE KWA POINTI ZA MAJAJI WOTE

  Bondia Abdallah Paz 'Dullah Mbabe' (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake Twaha Kiduku wa Morogoro katika pambano la uzito wa Super ...
  Ijumaa, Agosti 28, 2020
  SON HEUNG-MIN AFUNGA SPURS YAICHAPA READING 4-1

  SON HEUNG-MIN AFUNGA SPURS YAICHAPA READING 4-1

  Mshambuliaji Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 39 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Read...
  CHELSEA YAENDELEA KUIMARISHA UKUTA KWA KUMSAJILI THIAGO SILVA

  CHELSEA YAENDELEA KUIMARISHA UKUTA KWA KUMSAJILI THIAGO SILVA

  Beki wa kati, Mbrazil, Thiago Silva akiwa na jezi ya Chelsea baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na The Blues kama mchezaji ...
  MTIBWA SUGAR YAFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BENCHI LAKE LA UFUNDI, BARNABAS AULA

  MTIBWA SUGAR YAFANYA MABADILIKO MADOGO KATIKA BENCHI LAKE LA UFUNDI, BARNABAS AULA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imefanya mabadiliko madogo katika benchi lake la ufundi kuelekea msimu ...
  PARIMATCH TANZANIA YAINGIA MKATABA WA MWAKA MMOJA KUIDHAMINI MBEYA CITY LIGI KUU

  PARIMATCH TANZANIA YAINGIA MKATABA WA MWAKA MMOJA KUIDHAMINI MBEYA CITY LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMPUNI ya Parimatch Tanzania imesaini mkataba wa mwaka mmoja kuidhamini klabu ya Mbeya City ambayo inayo...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top