• HABARI MPYA

  Jumapili, Julai 31, 2016
  SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK, APIGA LA PILI WAKISHINDA 2-1 UBELGIJI

  SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK, APIGA LA PILI WAKISHINDA 2-1 UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ameendelea kuwa mchezaji muhimu kwa klabu yake, KRC Gen...
  REAL MADRID YAICHAPA CHELSEA 3-2 KWA MBINDE MAREKANI

  REAL MADRID YAICHAPA CHELSEA 3-2 KWA MBINDE MAREKANI

  Marcelo akifurahi baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa ...
  IBRA CADABRA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YA MOURINHO IKIUA 5-2

  IBRA CADABRA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED YA MOURINHO IKIUA 5-2

  Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akiifungia bao la kwanza Manchester United kiakrobatiki katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Galatasaray mjini ...
  Jumamosi, Julai 30, 2016
  KASEKE AANZA MAZOEZI YANGA SC IKIJIFUA JANGWANI MARA YA KWANZA CHINI YA MANJI

  KASEKE AANZA MAZOEZI YANGA SC IKIJIFUA JANGWANI MARA YA KWANZA CHINI YA MANJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Deus David Kaseke jana amefanya mazoezi na Yanga baada ya kukosekana kwa wiki tatu kutokana na mau...
  SIMBA YA OMOG YAENDELEZA WIMBI LA USHINI DHIDI YA ‘VITIMU’ VYA MORO

  SIMBA YA OMOG YAENDELEZA WIMBI LA USHINI DHIDI YA ‘VITIMU’ VYA MORO

  MABINGWA wa zamani nchini, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika mechi za kujipima ngugvu baada ya jana kuifunga Moro Kids mabao 2-...
  ATLETICO MADRID YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM HOTSPUR

  ATLETICO MADRID YAICHAPA 1-0 TOTTENHAM HOTSPUR

  Nacer Chadli wa Tottenham Hotspur akimiliki mpira mbele ya Stefan Savic wa Atletico Madrid katika mchezo wa Kombe la Kimataifa mjini Melb...
  Ijumaa, Julai 29, 2016
  AKINA SAMATTA WAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI EUROPA LEAGUE

  AKINA SAMATTA WAPATA USHINDI MWEMBAMBA NYUMBANI EUROPA LEAGUE

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ‘Sama Goal’ usiku wa Alhamisi ameiongoza timu yake, KRC...
  MO DEWJI ATANGAZA BONGE LA OFA SIMBA SC, ANATAKA KUZIPOTEZA KABISA AZAM NA YANGA

  MO DEWJI ATANGAZA BONGE LA OFA SIMBA SC, ANATAKA KUZIPOTEZA KABISA AZAM NA YANGA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MFANYABIASHARA Mohamed Gulam Dewji anataka kutumia bajeti ya Sh. Bilioni 5.5 kwa msimu kwa ajili ya Simb...
  KIMEELEWEKA, JUVENTUS YAKUBALI KUMRUDISHA POGBA MAN UNITED

  KIMEELEWEKA, JUVENTUS YAKUBALI KUMRUDISHA POGBA MAN UNITED

  KIUNGO wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba atakuwa mchezaji wa Manchester United tena baada ya kufikia makubaliano ya dili la uhamisho wa ...
  MAN CITY YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND KWA PENALTI 6-5

  MAN CITY YAIPIGA BORUSSIA DORTMUND KWA PENALTI 6-5

  Kipa wa Manchester City, Angus Gunn akipangua mkwaju wa penalti wa  Mikel Merino na kuiwezesha timu yake kushinda kwa penalti 6-5 baada y...
  CHELSEA YAIKANDAMIZA 1-0 LIVERPOOL KOMBE LA KIMATAIFA MAREKANI

  CHELSEA YAIKANDAMIZA 1-0 LIVERPOOL KOMBE LA KIMATAIFA MAREKANI

  Mshambuliaji wa Chelsea, Victor Moses akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Liverpool katika mchezo wa Kombe la Mabingwa ...
  Alhamisi, Julai 28, 2016
  MSONDO NGOMA WAJA NA‘MSONDO FAMILY DAY’ DDC KARIAKOO JUMAPILI HII

  MSONDO NGOMA WAJA NA‘MSONDO FAMILY DAY’ DDC KARIAKOO JUMAPILI HII

  HATIMAYE lile onyesho kubwa la Msondo Ngoma “Baba ya Muziki” lililopewa jina la ‘Msondo Family Day’, linafanyika Jumapili hii, Julai 31 nda...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top