• HABARI MPYA

  Sunday, January 31, 2016
  16 BORA KOMBE LA FA ENGLAND, MAN UNITED WAPEWA VIBONDE, CHELSEA NA MAN CITY, ARSENAL...

  16 BORA KOMBE LA FA ENGLAND, MAN UNITED WAPEWA VIBONDE, CHELSEA NA MAN CITY, ARSENAL...

  Kocha wa Man United, Louis Van Gaal TIMU ya Chelsea imepangwa kumenyana na Manchester City katika Raundi ya Tano ya Kombe la FA Cup  b...
  ULIMWENGU AENDELEA KUNG’ARA MAZEMBE BILA ‘KAMPANI’ YA SAMATTA

  ULIMWENGU AENDELEA KUNG’ARA MAZEMBE BILA ‘KAMPANI’ YA SAMATTA

  NYOTA ya Mtanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu (pichani kushoto) imeendelea kung’ara TP Mazembe baada ya jioni ya leo kufunga bao moja ka...
  YONDAN AWAOMBA RADHI YANGA KWA KADI NYEKUNDU NA KIPIGO CHA COSTAL, ASEMA WANAJIPANGA UPYA WASIRUDIE MAKOSA

  YONDAN AWAOMBA RADHI YANGA KWA KADI NYEKUNDU NA KIPIGO CHA COSTAL, ASEMA WANAJIPANGA UPYA WASIRUDIE MAKOSA

  Na Salma Isihaka, TANGA BEKI wa Yanga SC, Kevin Yondan (pichani kulia) amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo baada ya jana kutolewa kw...
  Saturday, January 30, 2016
  SUAREZ AIPIGIA LA USHINDI BARCA IKIILAZA 2-1 ATLETICO MADRID LA LIGA

  SUAREZ AIPIGIA LA USHINDI BARCA IKIILAZA 2-1 ATLETICO MADRID LA LIGA

  Mshambuliaji Luis Suarez akipiga ngumi hewani baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 2-1 Atletico Madrid leo ...
  YANGA ‘NDEMBENDEMBE’ MKWAKWANI, WACHEZEA 2-0 ZA COASTAL… SIMBA SC YAITANDIKA 4-0 AFRICAN SPORTS TAIFA

  YANGA ‘NDEMBENDEMBE’ MKWAKWANI, WACHEZEA 2-0 ZA COASTAL… SIMBA SC YAITANDIKA 4-0 AFRICAN SPORTS TAIFA

  MATOKEO NA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA Januari 30, 2016 Coastal Union 2-0 Yanga SC Simba SC 4-0 African Sports JKT Ruvu 0-0 Maji...
  HANS POPPE AWAKUMBUSHIA TP MAZEMBE 'MAHELA' YA SIMBA SC

  HANS POPPE AWAKUMBUSHIA TP MAZEMBE 'MAHELA' YA SIMBA SC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba wanasubiri mgawo wao wa E...
  HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI

  HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo m...
  Friday, January 29, 2016

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top