• HABARI MPYA

  Thursday, April 25, 2024
  MAN UNITED YAICHIMBIA KABURI SHEFFIELD UNITED, YAICHAPA 4-2

  MAN UNITED YAICHIMBIA KABURI SHEFFIELD UNITED, YAICHAPA 4-2

  WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa kuamkia...
  Wednesday, April 24, 2024
  FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

  FREDDY MICHAEL KOUBLAN AIPELEKA SIMBA FAINALI MUUNGANO CUP

  TIMU ya Simba SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, KVZ katika mchezo wa Nusu F...
  YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

  YANGA SC YATOKA PATUPU ISAMUHYO, 0-0 NA JKT TANZANIA

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya bila mabao na wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
  ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

  ARAJIGA AIFUATA SIMBA SC KOMBE LA MUUNGANO ZANZIBAR

  REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ni miongoni mwa waamuzi watatu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara walioteuliwa kuchezesha Kombe la Muungnao, mic...
  YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

  YANGA NA TABORA MEI MOSI CRDB BANK FEDERATION CUP

  MABINGWA watetezi, Yanga SC watamenyana na Tabora United Mei 1 katika Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano a...
  Tuesday, April 23, 2024
  MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

  MECHI YA JKT TANZANIA NA YANGA YAAHIRISHWA UWANJA MAJI MENGI

  MCHEZO wa l Kuu ya NBC Tanzania Bara baina ya mabingwa watetezi, Yanga SC na wenyeji, JKT Tanzania uliopangwa kufanyika jioni ya leo Uwanja ...
  Monday, April 22, 2024
  TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

  TANZANIA PRISONS NA KAGERA SUGAR HAKUNA MBABE, 0-0 SOKOINE

  WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Sok...
  BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

  BODI YAAHIRISHA MECHI ZA SIMBA NA AZAM, YAZIADHIBU TABORA, JKT NA KMC

  BODI ya Ligi Kuu (TPLB) imeahirisha mechi kadhaa za Azam na Simba ili kuzipa fursa ya kushiriki michuano ya Kombe la Muungano inayotarajiwa ...
   MABINGWA 56 WADONDOSHEWA BATA LA KUFA MTU MTOKO WA KIBINGWA NA BETIKA

  MABINGWA 56 WADONDOSHEWA BATA LA KUFA MTU MTOKO WA KIBINGWA NA BETIKA

  MABINGWA wa Promosheni  Kubwa ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 waandika historia wakongwa nyoyo kwa burudani ya aina yake zakiem  na Kushuhu...
  ESPERANCE YAICHAPA MAMELODI 1-0, MAZEMBE 0-0 NA AHLY LUBUMBASHI

  ESPERANCE YAICHAPA MAMELODI 1-0, MAZEMBE 0-0 NA AHLY LUBUMBASHI

  WENYEJI, Espérance Sportive de Tunis juzi waliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini katika mchezo wa kwanza wa...
  Sunday, April 21, 2024
  FEISAL AWAZIMA IHEFU CHAMAZI, AZAM YASHINDA 1-0

  FEISAL AWAZIMA IHEFU CHAMAZI, AZAM YASHINDA 1-0

  BAO pekee la kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 13 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tan...
  KEN GOLD YAPANDA LIGI KUU, PAMBA NI SUALA LA MUDA TU

  KEN GOLD YAPANDA LIGI KUU, PAMBA NI SUALA LA MUDA TU

  TIMU ya Ken Gold ya Mbeya imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fountain Gate Talents leo...
  SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA

  SINGIDA FOUNTAIN GATE YATOKA 0-0 NA MASHUJAA KIRUMBA

  WENYEJI, Singida Fountain Gate wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja w...
  GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

  GEITA GOLD YAAMBULIA SULUHU KWA TABORA UNITED

  TIMU ya Tabora United imelazimishwa sare ya bila kufungana na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ally H...
  Saturday, April 20, 2024
  YANGA YAICHAPA SIMBA SC 2-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA MWINGINE LIGI KUU

  YANGA YAICHAPA SIMBA SC 2-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA MWINGINE LIGI KUU

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi watani wao, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jion...
  Friday, April 19, 2024
  WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY KWA MKAPA KESHO

  WASHINDI 56 MTOKO WA KIBINGWA BETIKA KUSHUHUDIA DERBY KWA MKAPA KESHO

  WASHINDI 56 Promosheni ya Mtoko wa Kibingwa msimu wa 07 kuitazama Derby ya Kariakoo kati Simba na Yanga itakayofanyika kesho kwenye uwanja w...
  BENCHIKA AMUACHIA MATOLA MKUTANO NA GAMONDI KABLA YA MECHI YA WATANI KESHO

  BENCHIKA AMUACHIA MATOLA MKUTANO NA GAMONDI KABLA YA MECHI YA WATANI KESHO

  KOCHA Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchika amewakilishwa na Msaidizi wake, Suleiman Matola kwenye mkutano na Waandishi wa Habari, wakati Koc...
  Thursday, April 18, 2024
  NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA

  NI ARAJIGA TENA REFA WA SIMBA NA YANGA KESHOKUTWA

  REFA Ahmed Arajiga kwa mara ya pili mfululizo amepewa dhamana ya kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ya Ligi Kuu ya NBC Tanza...
  IHEFU NA SINGIDA FOUNTAIN GATE ZATOSHANA NGUVU, 1-1 LITI

  IHEFU NA SINGIDA FOUNTAIN GATE ZATOSHANA NGUVU, 1-1 LITI

  TIMU ya Ihefu SC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja ...
  BAYERN MUNICH YAICHAPA ARSENAL 1-0 KUTINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

  BAYERN MUNICH YAICHAPA ARSENAL 1-0 KUTINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

  WENYEJI, Bayern Munich wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal ya England u...
  Wednesday, April 17, 2024
  AZAM FC YABANWA MBAVU NA MASHUJAA CHAMAZI, NGOMA DROO 0-0

  AZAM FC YABANWA MBAVU NA MASHUJAA CHAMAZI, NGOMA DROO 0-0

  WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Compl...
  KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0

  KABUNDA AFUNGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA COASTAL 1-0

  BAO pekee la kiungo Hassan Salum Kabunda dakika ya nane limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu y...
  KAGERA SUGAR YAIKANDA TABORA UNITED 3-0 PALE PALE MWINYI

  KAGERA SUGAR YAIKANDA TABORA UNITED 3-0 PALE PALE MWINYI

  TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwa...
  GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA TANZANIA PRISONS NYANKUMBU

  GEITA GOLD YATOKA SULUHU NA TANZANIA PRISONS NYANKUMBU

  WENYEJI, Geita Gold leo wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania leo Uwanja wa sekond...
  MBAPPE APIGA MBILI..PSG YAWANYAMAZISHA BARCELONA NYUMBANI 4-1

  MBAPPE APIGA MBILI..PSG YAWANYAMAZISHA BARCELONA NYUMBANI 4-1

  TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya wen...
  Tuesday, April 16, 2024
  DODOMA JIJI YATOA SULUHU NA JKT TANZANIA LEO JAMHURI

  DODOMA JIJI YATOA SULUHU NA JKT TANZANIA LEO JAMHURI

  WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Ji...
  KMC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 PALE PALE MANUNGU KAZI YA SALIBOKO

  KMC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 PALE PALE MANUNGU KAZI YA SALIBOKO

  BAO pekee la Daruwesh Saliboko dakika ya 54 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Manungu Complex, Turiani...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top