• HABARI MPYA

  Saturday, February 29, 2020
  ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE

  ISMAILA SARR APIGA MBILI LIVERPOOL YACHAPWA 3-0 VICARAGE

  Mshambuliaji wa umri wa miaka 22 Msenegal, Ismaila Sarr (katikati) amefunga mabao mawili dakika za 54 na 60 katika ushindi wa 3-0 wa Watf...
  ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH

  ALONSO AIPIGIA ZOTE MBILI CHELSEA YATOKA 2-2 NA BOURNEMOUTH

  Marcos Alonso akishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao yote mawili dakika za 33 na 85 katika sare ya 2-2 na wenyeji, AFC Bournemouth...
  NCHIMBI ATOKEA BENCHI NA KUIFUNGIA YANGA MABAO YOTE IKIWAPIGA 2-0 ALLIANCE FC TAIFA

  NCHIMBI ATOKEA BENCHI NA KUIFUNGIA YANGA MABAO YOTE IKIWAPIGA 2-0 ALLIANCE FC TAIFA

  Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM  YANGA SC imepata ushindi wa kwanza katika mechi tano za Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa All...
  AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 DODOMA, NAMUNGO FC NAYO YAIPIGA 2-1 LIPULI SAMORA

  AZAM FC YAICHAPA JKT TANZANIA 1-0 DODOMA, NAMUNGO FC NAYO YAIPIGA 2-1 LIPULI SAMORA

  Na Mwandishi Wetu, DODOMA BAO la dakika ya 90 la mshambuliajii chipukizi, Andrew Simchimba limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 ugenini ...
  Friday, February 28, 2020
  SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17

  SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17

  Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM  KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17  ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya ...
  ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES

  ARSENAL YATUPWA NJE EUROPA LEAGUE BAADA YA KUPIGWA 2-1 EMIRATES

  Youssef El-Arabi akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Olympiacos dakika ya 119 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Arsenal kwe...
  Thursday, February 27, 2020
  RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA

  RONALDO AKOSA 'BAO LA WAZI' JUVE YACHAPWA 1-0 NA LYON UFARANSA

  Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akisikitika baada ya kupoteza nafasi nzuri ya kufunga dakika ya 80 kwenye mchezo wa kwanza ha...
  MAN CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU

  MAN CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU

  Kevin De Bruyne (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester City kwa penalti dakika ya 83 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Re...
  Wednesday, February 26, 2020
  YANGA SC YAICHAPA 1-0 GWAMBINA FC NA KUTINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  YANGA SC YAICHAPA 1-0 GWAMBINA FC NA KUTINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imeungana na mahasimu wao, Simba SC kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania...
  JONAS MKUDE AUNGANISHWA NA MORRISON KESI YA KUPIGA ‘VIWIKO’ KAMATI YA NIDHAMU TFF

  JONAS MKUDE AUNGANISHWA NA MORRISON KESI YA KUPIGA ‘VIWIKO’ KAMATI YA NIDHAMU TFF

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ...
  MAREFA WALIOKATAA BAO LA POLISI DHIDI YA YANGA MOSHI WAFUNGIWA MIEZI MITATU KILA MMOJA

  MAREFA WALIOKATAA BAO LA POLISI DHIDI YA YANGA MOSHI WAFUNGIWA MIEZI MITATU KILA MMOJA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAREFA waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya wenyeji, Polisi Tanzania na Yanga SC ya D...
  RUVU SHOOTING YAPIGWA FAINI SH MILIONI 1, MASAU BWIRE APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU

  RUVU SHOOTING YAPIGWA FAINI SH MILIONI 1, MASAU BWIRE APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ruvu Shooting FC imetozwa faini ya Sh Milioni 1 kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupiti...
   LUC EYMAEL NA TSHISHIMBI WAPIGWA FAINI KWA KUGOMA KUZUNGUMZA NA AZAM TV TANGA

  LUC EYMAEL NA TSHISHIMBI WAPIGWA FAINI KWA KUGOMA KUZUNGUMZA NA AZAM TV TANGA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Yanga SC, Mbelgiji Luc Eymael ametozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kukataa kufanya mahojiano...
  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0

  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA CHELSEA 3-0

  Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 51 na 54 kabla ya  Robert Lewandowski  kufunga la tatu ...
  GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA

  GRIEZMANN AISAWAZISHIA BARCELONA YATOA SARE YA 1-1 NA NAPOLI ITALIA

  Antoine Griezmann (kulia) akijiandaa kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 57 ikitoa sare ya 1-1 na wenye...
  Monday, February 24, 2020
  TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA

  TWIGA STARS WALIVYOWASILI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI MICHUANO YA UNAF TUNISIA

  Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake, Twiga Stars wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es ...
  Sunday, February 23, 2020
  YANGA SC YAZIDI KUPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA BAADA YA SARE NYINGINE LEO MKWAKWANI

  YANGA SC YAZIDI KUPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA BAADA YA SARE NYINGINE LEO MKWAKWANI

  Na Mwandishi Wetu, TANGA NDOTO za ubingwa zimezidi kuyeyuka kwa vigogo, Yanga SC baada ya leo kulazimishwa sare ya nne mfululizo kufuatia ...
  LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

  LEVANTE YAICHAPA REAL MADRID 1-0 NA KUIONDOA KILELENI LA LIGA

  Wachezaji wa Levante wakishangilia baada ya Jose Luis Morales kufunga bao pekee dakika ya 79 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Real Madrid k...
  Saturday, February 22, 2020
  JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER

  JESUS APIGA BAO PEKEE MAN CTY YAICHAPA LEICESTR 1-0 KING POWER

  Gabriel Jesus (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee dakika ya 80 ikiilaza Leicester City 1-0 kwenye mchezo ...
  SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YAFUNGWA MECHI YA TATU MFULULIZO ENGLAND

  SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YAFUNGWA MECHI YA TATU MFULULIZO ENGLAND

  Na Mwandishi Wetu, HAMPSHIRE MSHAMBULAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amecheza dakika zote 90, timu yake, Aston Villa iki...
  SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA 3-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA WA TATU MFULULIZO LIGI KUU

  SIMBA SC YAICHAPA BIASHARA 3-1 NA KUZIDI KUUKARIBIA UBINGWA WA TATU MFULULIZO LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi katika kampeni yao ya kutwaa taji la tatu mfulu...
  LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA

  LIONEL MESSI APIGA NNE BARCELONA YAICHAPA EIBAR 5-0 LA LIGA

  Lionel Messi akishangila kibabe baada ya kufunga mabao manne dakika za 14, 37, 40 na 87 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Eibar kwenye mchez...
  NAMUNGO FC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUJIWEKA SAWA KWENYE NAFASI YA TATU LIGI KUU

  NAMUNGO FC YAICHAPA AZAM FC 1-0 NA KUJIWEKA SAWA KWENYE NAFASI YA TATU LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, RUANGWA TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni...
  GIROUD NA ALONSO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM 2-1

  GIROUD NA ALONSO WAFUNGA CHELSEA YAICHAPA TOTTENHAM 2-1

  Beki Marcos Alonso akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 48 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Tottenham Hot...
  TWIGA STARS YAKAMILISHA MICHUANO YA UNAF KWA KUTOA SARE YA 1-1 NA WENYEJI, TUNISIA

  TWIGA STARS YAKAMILISHA MICHUANO YA UNAF KWA KUTOA SARE YA 1-1 NA WENYEJI, TUNISIA

  Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania, Amina Ally akimdhibiti mchezaji wa Tunisia kwenye mchezo wa mwisho wa michuano ya UNAF...
  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA U15 NA U17

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA U15 NA U17

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia akikabidhi vifaa mbalimbali kwa Shule zitakazoshiriki Ligi za Wasichana na Wavul...
  WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AMFARIJI KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE

  WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AMFARIJI KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO BAADA YA KUFIWA NA KAKA YAKE

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika kumpa pole Katibu Mku...
  YANGA SC YATOZWA FAINI, MORRISON APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU KWA KUMPIGA MCHEZAJI WA PRISONS

  YANGA SC YATOZWA FAINI, MORRISON APELEKWA KAMATI YA NIDHAMU KWA KUMPIGA MCHEZAJI WA PRISONS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC imetozwa faini ya Sh 500,000 kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu ya wachez...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top