// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 11/01/2023 - 12/01/2023 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 11/01/2023 - 12/01/2023 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 30, 2023
    COASTAL UNION YAIKANDA GEITA GOLD 3-1 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAIKANDA GEITA GOLD 3-1 MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Unión wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja...
    TWIGA STARS YATANGULIZA MGUU MMOJA WAFCON 2024

    TWIGA STARS YATANGULIZA MGUU MMOJA WAFCON 2024

    TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Togo katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Pili...
    MAN UNITED YAAMBULIA SARE KWA UTURUKI 3-3 NA GALATASARAY

    MAN UNITED YAAMBULIA SARE KWA UTURUKI 3-3 NA GALATASARAY

    WENYEJI, Galatasaray usiku wa Jumatano wametoka sare ya kufungana mabao 3-3 na Manchester United katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa U...
    Wednesday, November 29, 2023
    BARA YAKWAA KISIKI KWA SUDAN KUSINI CECAFA U18

    BARA YAKWAA KISIKI KWA SUDAN KUSINI CECAFA U18

    TANZANIA Bara imekwaa kisiki baada ya kuchapwa 2-1 na Sudan Kusini katika mchezo wa Kundi B michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afr...
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI FC 1-0 SOKOINE

    BAO pekee la kiungo Jumanne Elfadhili Nimkaza kwa penalti dakika ya 77 limeipa Tanzania Prisons ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katik...
    YANGA KUANZA NA HAULING FC, SIMBA NA TEMBO AZAM NA ALLIANCE ASFC

    YANGA KUANZA NA HAULING FC, SIMBA NA TEMBO AZAM NA ALLIANCE ASFC

    MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Hauling FC ya Njombe katika Hatua ya 64 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
    MAN CITY YATOKA NYUMA NA KUICHAPA RB LEIPZIG 3-2 ULAYA

    MAN CITY YATOKA NYUMA NA KUICHAPA RB LEIPZIG 3-2 ULAYA

    WENYEJI, Manchester City jana wametoka nyuma kwa mabao mawili na kushinda 3-2 dhidi ya Rasen Ballsport Leipzig katika mchezo wa Kundi G Ligi...
    Tuesday, November 28, 2023
    TWIGA STARS INAVYOJIFUA KUIVAA TOGO ALHAMISI CHAMAZI KUFUZU WAFCON

    TWIGA STARS INAVYOJIFUA KUIVAA TOGO ALHAMISI CHAMAZI KUFUZU WAFCON

    MSHAMBULAJI Opah Clement anayechezea klabu ya Besiktas ya Uturuki akiwa mazoezi ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania leo Kituo cha Ufund...
    Monday, November 27, 2023
    KAGERE AFUNGA, SINGIDA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 LITI

    KAGERE AFUNGA, SINGIDA YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 LITI

    WENYEJI, Singida Fountain Gate wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Unión katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
    TANZANIA YAICHAPA UGANDA 1-0 MICHUANO YA CECAFA U18 KENYA

    TANZANIA YAICHAPA UGANDA 1-0 MICHUANO YA CECAFA U18 KENYA

    TANZANIA jana imeanza vyema michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U18) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi...
    Sunday, November 26, 2023
    GARNACHO APIGA BONGE LA BAO MAN UNITED YASHINDA 3-0 LIVERPOOL

    GARNACHO APIGA BONGE LA BAO MAN UNITED YASHINDA 3-0 LIVERPOOL

    TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Good...
    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA IHEFU SC 1-1 CHAMAZI

    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA IHEFU SC 1-1 CHAMAZI

    TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
    GEITA GOLD YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NYANKUMBU

    GEITA GOLD YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NYANKUMBU

    BAO pekee la mshambuliaji Valentino Mashaka Kusengama dakika ya 79 limeipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Li...
    Saturday, November 25, 2023
    ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 1-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

    ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 1-0 NA KUREJEA KILELENI ENGLAND

    BAO la kiungo wa Kimataifa wa Ujerumani, Kai Lukas Havertz dakika ya 89 limetosha kuirejesha Arsenal kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ...
    Friday, November 24, 2023
    SINGIDA BIG STARS YAWACHAPA MAJIRANI DODOMA 2-1 JAMHURI

    SINGIDA BIG STARS YAWACHAPA MAJIRANI DODOMA 2-1 JAMHURI

    TIMU ya Singida Fountain Gate imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Ba...
    AZAM FC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 5-0 KIPRE APIGA HAT TRICK

    AZAM FC YAITANDIKA MTIBWA SUGAR 5-0 KIPRE APIGA HAT TRICK

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
    Thursday, November 23, 2023
    NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU 2-0 RUANGWA MABAO YA BUSWITA NA MAJIMENGI

    NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU 2-0 RUANGWA MABAO YA BUSWITA NA MAJIMENGI

    WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliw...
    COASTAL UNION YAILAMBA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    COASTAL UNION YAILAMBA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE

    BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Benin, Roland Junior Beakou dakika ya 17 leo limeipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji...
    TANZANIA PRISONS YATAMBULISHA KOCHA MBADALA WA MINZIRO

    TANZANIA PRISONS YATAMBULISHA KOCHA MBADALA WA MINZIRO

    KLABU ya Tanzania Prisons imemtambulisha Hamad Hamisi Ally kuwa kocha wake mpya Mkuu, ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili kufundisha tim...
    Wednesday, November 22, 2023
    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE TU KWA KMC 1-1 KAITABA

    KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE TU KWA KMC 1-1 KAITABA

    WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba m...
    GEITA GOLD YAIKANYAGA JKT TANZANIA 1-0 NYANKUMBU

    GEITA GOLD YAIKANYAGA JKT TANZANIA 1-0 NYANKUMBU

    BAO pekee la Edmund John dakika ya 42 limetosha kuipa Geita Gold ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania ...
    TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO DAR, HAKIMI AKOSA PENALTI

    TAIFA STARS YACHAPWA 2-0 NA MOROCCO DAR, HAKIMI AKOSA PENALTI

    TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa mabao 2-0 na Morocco katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026 uliofanyok...
    Tuesday, November 21, 2023
    Monday, November 20, 2023

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top