• HABARI MPYA

  Thursday, December 21, 2023

  TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora unaotumiwa na Tabora United baada ya kufanyiwa marekebisho yaliyohjitajika,
  Ally Hassan Mwinyi utaanza kutumika baada ya mchezo baina ya Tabora United na Yanga Jumamosi ambao utachezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, kwani kwa mujibu wa kanuni ni siku saba Uwanja kuanza kutumika baada ya kufunguliwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top