• HABARI MPYA

    Thursday, June 30, 2022
    ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA

    ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA

    REFA Ahmed Arajiga wa Manyara ndiye atakayechezesha Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federati...
    Wednesday, June 29, 2022
    YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0

    YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0

    MABINGWA, Yanga SC wamemaliza Ligi Kuu ya Tanzania Bara vizuri kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini ...
    MBOMBO APIGA HATI-TRICK AZAM YAFUZU KOMBE LA SHIRIKISHO

    MBOMBO APIGA HATI-TRICK AZAM YAFUZU KOMBE LA SHIRIKISHO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumaliza nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania...
    Tuesday, June 28, 2022
    Monday, June 27, 2022
    RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28

    RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28

    RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
    Sunday, June 26, 2022
    TANZANIA PRISONS YAICHAPA SIMBA 1-0 SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAICHAPA SIMBA 1-0 SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya vigogo, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
    KICHUYA APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAICHAPA MTIBWA 4-2

    KICHUYA APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAICHAPA MTIBWA 4-2

    KIUNGO mshambuliaji, Shiza Ramadhani Kichuya ameifungia mabao matatu Namungo FC ikitoka nyuma na kuichapa timu yake ya zamani, Mtibwa Sugar ...
    Saturday, June 25, 2022
    YANGA SC YAENDELEZA REKODI YA KUTOPOTEZA MECHI LIGI KUU

    YANGA SC YAENDELEZA REKODI YA KUTOPOTEZA MECHI LIGI KUU

    MABINGWA, Yanga wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mechi msimu huu baada ya kutoa sare ya 1-1 na wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Lig...
    Friday, June 24, 2022
    SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFARANSA

    SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFARANSA

    TANZANIA imepangwa Kundi D pamoja na Canada, Japan na Ufaransa katika Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya umri wa miaka 17 zinazo...
    Thursday, June 23, 2022

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top