• HABARI MPYA

  Sunday, December 03, 2023

  MAN UNITED YAWAPA RAHA NEWCASTLE UNITED, WACHAPWA 1-0


  BAO la mshambuliaji kinda wa miaka 22 wa England, Anthony Michael Gordon dakika ya 55 jana liliwapa wenyeji, Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. James' Park, Newcastle upon Tyne.
  Ushindi huo unawafanya Newcastle United wafikishe pointi 26 na kupanda nafasi ya tano wakiishushia nafasi ya saba Manchester United inayobaki na pointi zake 24 baada ya wote kucheza mechi 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAWAPA RAHA NEWCASTLE UNITED, WACHAPWA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top