• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017
  SERENGETI BOYS YAWAPIGA CAMEROON 1-0 KWAO

  SERENGETI BOYS YAWAPIGA CAMEROON 1-0 KWAO

  Na Mwandishi Wetu, YAOUNDE TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zak...
  MANCHESTER CITY YAAMBULIA SARE 2-2 RIVERSIDE

  MANCHESTER CITY YAAMBULIA SARE 2-2 RIVERSIDE

  Nyota wa Manchester City, Leroy  Sane akienda chini baada ya kukwatuliwa na Marten de Roon wa  Middlesbrough,  rafu iliyosababisha penalt...
  ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND

  ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND

  Wachezaji wa Arsenal wakimlalamikia refa kwamba Harry Kane alijirusha baada ya kugongana na wachezaji wa Arsenal ili apewe penalti, ambay...
  CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBUTUA EVERTON 3-0

  CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBUTUA EVERTON 3-0

  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya Everton Uwanja wa  Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Ku...
  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA SWANSEA CITY

  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA SWANSEA CITY

  Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akienda chini baada ya kuangushwa na kipa wa Swansea City, Lukasz Fabianski na refa Ne...
   VIONGOZI AZAM FC WAJITATHMINI BAADA YA MATOKEO MABAYA ZAIDI NDANI YA MIAKA MITANO

  VIONGOZI AZAM FC WAJITATHMINI BAADA YA MATOKEO MABAYA ZAIDI NDANI YA MIAKA MITANO

  KIPIGO cha bao 1-0 kutoka kwa Simba jana katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), au Azam Sports Federation Cup (...
  ATHUMANI MACHUPPA ENZI ZAKE ALIKUWA ANAPEPERUKA BALAA

  ATHUMANI MACHUPPA ENZI ZAKE ALIKUWA ANAPEPERUKA BALAA

  Mshambuliaji wa Simba, Athumani Machuppa akimtoka beki wa CDA ya Dodoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya Safari Lager mwaka 1999 Uwanja wa Ta...
  SAMATTA ATOKEA BENCHI, GENK YAUA 3-0 KUFUZU ULAYA

  SAMATTA ATOKEA BENCHI, GENK YAUA 3-0 KUFUZU ULAYA

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi KRC Genk ikiibuka na ushin...
  BAYERN WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA YA TANO MFULULIZO

  BAYERN WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA YA TANO MFULULIZO

  Robert Lewandowski (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuiwezesha Bayern Munich kutwaa taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Ujeruman...
  SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAWAPA ESPANYOL 3-0

  SUAREZ AFUNGA MAWILI BARCELONA YAWAPA ESPANYOL 3-0

  Luis Suarez akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 87 katika ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa  RCDE mjini Cornell...
  RONALDO AFUNGA, AKOSA PENALTI REAL MADRID YASHINDA 2-1

  RONALDO AFUNGA, AKOSA PENALTI REAL MADRID YASHINDA 2-1

  Cristiano Ronaldo akiwa hewani kupigwa kichwa kuipatia bao la kuongoza Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Valencia u...
  Jumamosi, Aprili 29, 2017
  AZAM FC WALIA NA REFA, WADAI AKRAMA KAWABEBA SIMBA

  AZAM FC WALIA NA REFA, WADAI AKRAMA KAWABEBA SIMBA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Iddi Nassor Cheche ameponda uchezeshaji wa refa Mathew Akrama katika Nusu Fain...
  LEICESTER CITY YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA WEST BROM 1-0

  LEICESTER CITY YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA WEST BROM 1-0

  Jamie Vardy akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Leicester City dakika ya 43 ikiifunga 1-0 West Brom katika mchezo wa Ligi ...
  MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 NYUMBANI

  MOYES AIPOROMOSHA DARAJA SUNDERLAND, YAPIGWA 1-0 NYUMBANI

  Kocha wa Sunderland, David Moyes akiwa haamini macho yake baada ya timu yake kufungwa nyumbani 1-0 na  Bournemouth bao pekee la Joshua Ki...
  SIMBA WATINGA FAINALI KOMBE LA TFF, SASA WANAISUBIRI YANGA INAMENYANA NA MBAO KESHO

  SIMBA WATINGA FAINALI KOMBE LA TFF, SASA WANAISUBIRI YANGA INAMENYANA NA MBAO KESHO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linalojulikana kama A...
  SERIKALI YATANGAZA NIA YA KUZALISHA MABILIONEA WANAMICHEZO

  SERIKALI YATANGAZA NIA YA KUZALISHA MABILIONEA WANAMICHEZO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kwamba Serikali sasa imeanza mchakato wa kutengeneza mabilionea kup...
  Ijumaa, Aprili 28, 2017
  SIMBA NA YANGA WACHUKUA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA AZAM, MBAO

  SIMBA NA YANGA WACHUKUA TAHADHARI KUBWA DHIDI YA AZAM, MBAO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIGOGO wa soka nchini, Simba wameonekana kuchukua tahadhari kubwa kuelekea mechi zao za Nusu Fainali ya K...
  FELLAINI 'AMTWISHA NDOO' AGUERO, ALIMWA NYEKUNDU...MAN UNITED PUNGUFU YALAZIMISHA SARE ETIHAD

  FELLAINI 'AMTWISHA NDOO' AGUERO, ALIMWA NYEKUNDU...MAN UNITED PUNGUFU YALAZIMISHA SARE ETIHAD

  Sergio Aguero wa Manchester City akienda chini dakika ya sita huku ameshika kichwa baada ya kudai amepigwa kichwa na Marouane Fellaini wa...
  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top