• HABARI MPYA

  Thursday, December 07, 2023

  NAMUNGO FC YAIKANDA MTIBWA SUGAR 1-0 RUANGWA


  BAO pekee la beki Mrundi, Derick Mukombozi dakika ya nane limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
  Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 17 katika mchezo wa 13 na kupanda nafasi y sita, wakati Mtibwa Sugar inaendelea kuburuza mkia kwa pointi zake tano za mechi 12.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAIKANDA MTIBWA SUGAR 1-0 RUANGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top