• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 31, 2018
  LEWANDOWSKI APIGA TATU BAYERN YAICHAPA DORTMUND 6-0

  LEWANDOWSKI APIGA TATU BAYERN YAICHAPA DORTMUND 6-0

  Robert Lewandowski akishangilia baada ya kufunga mabao matatu Bayern Munich dakika za tano, 44 na 87 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya  Boru...
  BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA

  BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA

  Gareth Bale akifunga bao la tatu kwa penalti dakika ya 51 na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 wa Real Madrid dhidi ya wenyeji, Las Pal...
  JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK

  JESUS AFUNGA BAO TAMU MAN CITY YASHINDA 3-1 GOODISON PARK

  Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 12 katika ushindi wa 3-1 d...
  MTIBWA SUGAR WAENDA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP KWA MATUTA

  MTIBWA SUGAR WAENDA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP KWA MATUTA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) baa...
  LUKAKU, SANCHEZ WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA 2-0 SWANSEA

  LUKAKU, SANCHEZ WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA 2-0 SWANSEA

  Mshambuliaji Alexis Sanchez anayelipwa Pauni 400,000 kwa wiki Manchester United akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili d...
  SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-1

  SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-1

  Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 84 ikitoka nyuma kwa bao ...
  NGORONGORO YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU AFCON U20 NIGER 2019 BAADA YA SARE YA 0-0 NA DRC LEO

  NGORONGORO YAJIWEKA PAGUMU KUFUZU AFCON U20 NIGER 2019 BAADA YA SARE YA 0-0 NA DRC LEO

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imejiweka pagumu katika kinyang’any...
  KUMEKUCHA TUZO ZA FILAMU TANZANIA, RAIS MSTAAFU JK MGENI RASMI KESHO MLIMANI CITY

  KUMEKUCHA TUZO ZA FILAMU TANZANIA, RAIS MSTAAFU JK MGENI RASMI KESHO MLIMANI CITY

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tuzo ya filamu bor...
  JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA KWENDA NUSU FAINALI ASFC

  JKT TANZANIA YAIZIMA PRISONS PALE PALE SOKOINE NA KWENDA NUSU FAINALI ASFC

  TIMU ya JKT Tanzania imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenye...
  MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI YA MECHI NA NJOMBE MJI JUMANNE

  MKUDE ASAFIRI NA SIMBA SC KWENDA IRINGA KWA AJILI YA MECHI NA NJOMBE MJI JUMANNE

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KIUNGO Jonas Gerald Mkude ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Simba SC leo kwenda Iringa k...
  MAKAMU MWENYEKITI AZAM FC APEWA UJUMBE BODI YA OLIMPIKI TANZANIA

  MAKAMU MWENYEKITI AZAM FC APEWA UJUMBE BODI YA OLIMPIKI TANZANIA

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MAKAMU Mwenyekiti wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Olimpiki Maalum ...
  NGORONGORO YAPANIA KUWAZIMA U-20 WA DRC LEO TAIFA

  NGORONGORO YAPANIA KUWAZIMA U-20 WA DRC LEO TAIFA

  Na Mwadishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo inaanza kampeni za kuwani...
  Ijumaa, Machi 30, 2018
  POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN U MECHI NA SWANSEA KESHO

  POGBA AKIWAHI MAZOEZINI MAN U MECHI NA SWANSEA KESHO

  Kiungo Mfaransa, Paul Pogba akiendesha gari lake kuelekea kwenye mazoezi ya klabu yake, Manchester United leo kujiandaa na mchezo wa Ligi...
  NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM NYUMBANI BRAZIL KUJIWEKA FITI

  NEYMAR AANZA KUJIFUA GYM NYUMBANI BRAZIL KUJIWEKA FITI

  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akifanya mazoezi gym kujiweka fiti baada ya kuumia kifundo cha mguu mapema mwezi huu na kutakiwa kuwa nje kw...
  STAND UNITED YATANGULIA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION

  STAND UNITED YATANGULIA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION

  Na Alexander Shijja, SHINYANGA TIMU ya Stand United imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup baada ya ush...
  EMMANUEL OKWI AREJEA LEO KUKAMILISHA KIKOSI CHA SIMBA SAFARI YA NJOMBE

  EMMANUEL OKWI AREJEA LEO KUKAMILISHA KIKOSI CHA SIMBA SAFARI YA NJOMBE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM  MSHAMBULIAJI tegemeo wa Simba SC, Emmanuel Okwi anatarajiwa kutua leo nchini na kujiunga na kikosi cha t...
  FEISAL YU TAYARI KUTUA POPOTE YANGA AU SINGIDA UNITED, ANAANGALIA MASLAHI

  FEISAL YU TAYARI KUTUA POPOTE YANGA AU SINGIDA UNITED, ANAANGALIA MASLAHI

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO chipukizi Mzanzibari, Feisal Salum `Fei Toto` wa JKU ya nyumbani, Unguja amesema kwamba popote anawe...
  MTIBWA SUGAR KUWAKOSA BABA UBAYA NA KANONI MECHI NA AZAM KESHO CHAMAZI

  MTIBWA SUGAR KUWAKOSA BABA UBAYA NA KANONI MECHI NA AZAM KESHO CHAMAZI

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro itawakosa wachezaji wake wawili, wote mabeki wa pembeni, Issa Rashid ‘Bab...
  Alhamisi, Machi 29, 2018
  SIMBA SC WAENDA KUWEKA KAMBI IRINGA MECHI NA NJOMBE MJI FC JUMANNE SABA SABA

  SIMBA SC WAENDA KUWEKA KAMBI IRINGA MECHI NA NJOMBE MJI FC JUMANNE SABA SABA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC inatarajiwa kuondoka Jumamosi kwenda kuweka kambi Iringa kwa siku mbili kujiandaa na mchezo wa L...
  MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM KUJADILI MUSTAKABALI MPYA WA KLABU

  MKUTANO MKUU YANGA KUFANYIKA MEI 5 DAR ES SALAAM KUJADILI MUSTAKABALI MPYA WA KLABU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga inatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka Mei 5 mwaka huu katika ukumbi utakaotajwa b...
  Jumatano, Machi 28, 2018
  MTOTO WA WEAH AWEKA REKODI TIMU YA TAIFA YA MAREKANI

  MTOTO WA WEAH AWEKA REKODI TIMU YA TAIFA YA MAREKANI

  MTOTO wa Rais wa wa Liberia, George Weah aitwaye Timothy 'Tim' Weah akiwa na umri wa miaka 18 jana ameichezea kwa mara kwanza timu ...
  NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO KUELEKEA MECHI NA SINGIDA JUMAPILI

  NGOMA ANAENDELEA KUIMARIKA KAMBINI YANGA MOROGORO KUELEKEA MECHI NA SINGIDA JUMAPILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mzimbabwe wa Yanga SC, Donald Ngoma anaendelea kuimarika katika kambi ya timu hiyo mjini Mor...
  MKUDE KURUDI MAZOEZINI KESHO SIMBA, MANARA ASEMA KIJANA HAJAUMIA SANA

  MKUDE KURUDI MAZOEZINI KESHO SIMBA, MANARA ASEMA KIJANA HAJAUMIA SANA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa Simba SC, Jonas Mkude anaweza kuendelea na mazoezi kesho baada ya kuumia kifundo cha mguu juzi....
  KICHUYA ASEMA SHUGHULI YAKE YA JANA NI SALAMU KWA NJOMBE MJI FC

  KICHUYA ASEMA SHUGHULI YAKE YA JANA NI SALAMU KWA NJOMBE MJI FC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGA wa kimataifa wa Tanzania na klabu ya Simba, Shiza Kichuya amesema kwamba ana hamu Ligi Kuu ya Vodac...
  LUKAKU AFUNGA MABAO MAWILI UBELGIJI YASHINDA 4-0

  LUKAKU AFUNGA MABAO MAWILI UBELGIJI YASHINDA 4-0

  Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 19 na 39 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Saudi Arabia kwenye...
  JESUS 'NUSU ALIE' BAADA YA KUIFUNGIA BRAZIL IKIILAZA 1-0 UJERUMANI

  JESUS 'NUSU ALIE' BAADA YA KUIFUNGIA BRAZIL IKIILAZA 1-0 UJERUMANI

  Mshambuliaji wa Manchester City, Gabriel Jesus akikaribia kulia kwa furaha wakati anapongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Bra...
  ENGLAND YALAZIMISHWA SARE NA ITALIA, 1-1 WEMBLEY

  ENGLAND YALAZIMISHWA SARE NA ITALIA, 1-1 WEMBLEY

  Raheem Sterling wa England akiwatoka wachezaji wa Italia katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa  Wembley mjini London timu hizo zikif...
  ISCO APIGA HAT TRICK HISPANIA YAITANDIKA ARGENTINA 3-0

  ISCO APIGA HAT TRICK HISPANIA YAITANDIKA ARGENTINA 3-0

  Sergio Ramos (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake wa Real Madrid, Isco baada ya kuifungia Hispania mabao matatu dakika za 27, 52 na 74...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top