• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2023

  FEI TOTO MCHEZAJI BORA, AZAM YATOA NA KOCHA BORA PIA


  KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum Abdallah ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Novemba, huku kocha wake, Mfaransa akishinda Tuzo ya Kocha Bora.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FEI TOTO MCHEZAJI BORA, AZAM YATOA NA KOCHA BORA PIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top