• HABARI MPYA

  Wednesday, October 31, 2018
  KOCHA PAWASA ATAJA KIKOSI CHA FAINALI ZA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI KASEJA NA MUSSA MGOSI NDANI

  KOCHA PAWASA ATAJA KIKOSI CHA FAINALI ZA AFRIKA SOKA LA UFUKWENI KASEJA NA MUSSA MGOSI NDANI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya soka la ufukweni, Boniface Pawasa ametaja kikosi chake kwa ajili ya Fainal...
  KMC YAISHINDILIA NDANDA FC 3-0 NA KUJIINUA KIDOGO KUTOKA CHINI KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU

  KMC YAISHINDILIA NDANDA FC 3-0 NA KUJIINUA KIDOGO KUTOKA CHINI KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU

  TIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) leo imebuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi K...
  MOHAMMED ISSA ‘BANKA’ KUANZA KUICHEZEA YANGA FEBRUARI 8 MWAKANI ADHABU YAKE YA BANGI IKIISHA

  MOHAMMED ISSA ‘BANKA’ KUANZA KUICHEZEA YANGA FEBRUARI 8 MWAKANI ADHABU YAKE YA BANGI IKIISHA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mohammed Issa Juma 'Banka' ataruhusiwa kuendelea kucheza soka ifikapo Februari 8 mwakani a...
  BAYERN WAIPIGA 2-1 TIMU YA DARAJA LA NNE KOMBE LA UJERUMANI

  BAYERN WAIPIGA 2-1 TIMU YA DARAJA LA NNE KOMBE LA UJERUMANI

  Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Rodinghausen ya Daraja la Nne kwenye mchezo wa Kombe ...
  Tuesday, October 30, 2018
  YANGA SC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA LIPULI FC 1-0 BAO PEKEE LA MAKAMBO TAIFA

  YANGA SC YAREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA LIPULI FC 1-0 BAO PEKEE LA MAKAMBO TAIFA

  Na Nasra Omar, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga SC imerudi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa bao 1...
  MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA DAKIKA 10 ZA MWISHO SARE 2-2 NA MBEYA CITY

  MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA DAKIKA 10 ZA MWISHO SARE 2-2 NA MBEYA CITY

  Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU ya Mbao FC leo imeponea chupuchupu kupoteza mechi ya pili mfululizo nyumbani, baada ya kulazimisha sare ya ...
  TFF KUSAFIRISHA WAANDISHI WA HABARI 15 KWA BASI KWENDA KURIPOTI MECHI YA TAIFA STARS NA LESOTHO

  TFF KUSAFIRISHA WAANDISHI WA HABARI 15 KWA BASI KWENDA KURIPOTI MECHI YA TAIFA STARS NA LESOTHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa nafasi 15 za usafiri wa basi kwa Waandishi wa Habari kwenda Les...
  MAHREZ AFUNGA BAO PEKE MAN CITY YAWAPIGA 1-0 TOTTENHAM WEMBELY

  MAHREZ AFUNGA BAO PEKE MAN CITY YAWAPIGA 1-0 TOTTENHAM WEMBELY

  Mshambuliaji wa Manchester City, Riyad Mahrez akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa...
  KOCHA WA TIMU B ARITHISHWA MIKOBA YA LOPETEGUI ALIYEFUKUZWA REAL MADRID

  KOCHA WA TIMU B ARITHISHWA MIKOBA YA LOPETEGUI ALIYEFUKUZWA REAL MADRID

  KLABU ya Real Madrid imemfukuza kocha wake, Julen Lopetegui na kumpandisha kocha wa timu B, Santiago Solari kuiongoza timu kwa muda. Bodi ...
  Monday, October 29, 2018
  MWADUI FC WAWATWANGA WAPINZANI WAO WA SHINYANGA NA KUANZA KUJINASUA MKIANI LIGI KUU

  MWADUI FC WAWATWANGA WAPINZANI WAO WA SHINYANGA NA KUANZA KUJINASUA MKIANI LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, SHINYANGA TIMU ya Mwadui FC imeanza kujiinua kutoka mkiani baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Stand United katik...
  MSEMAJI WA SIMBA SC, HAJJI SUNDAY MANARA ATEULIWA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA ASAS YA IRINGA

  MSEMAJI WA SIMBA SC, HAJJI SUNDAY MANARA ATEULIWA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA ASAS YA IRINGA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Hajji Sunda...
  WATANO WAFARIKI DUNIA KWENYE HELIKOPTA YA MMILIKI WA LEICESTER

  WATANO WAFARIKI DUNIA KWENYE HELIKOPTA YA MMILIKI WA LEICESTER

  WATU watano wamefariki dunia pamoja na mmiliki wa klabu ya Leicester City ya England, bilionea Vichai Srivaddhanaprabha baada ya helikopta ...
  SAMATTA AFUNGA BAO BADO KIDOGO GENK ISHINDE, IKASAWAZISHIWA DAKIKA YA MWISHO NA KUTOA SARE 1-1 UGENINI

  SAMATTA AFUNGA BAO BADO KIDOGO GENK ISHINDE, IKASAWAZISHIWA DAKIKA YA MWISHO NA KUTOA SARE 1-1 UGENINI

  Na Mwandishi Wetu, LIEGE MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alifunga bao lililoelekea kuipa ushindi timu yake...
  Sunday, October 28, 2018
  PENALTI MBILI ZAIKOSESHA USHINDI ARSENAL, YATOA SARE 2-2 NA PALACE

  PENALTI MBILI ZAIKOSESHA USHINDI ARSENAL, YATOA SARE 2-2 NA PALACE

  Mshambuliaji wa Crystal Palace, Wilfried Zaha akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa Arsenal, Alex Iwobi na Matteo Guendouzi katika m...
  POGBA AFUNGA LA KWANZA, ASETI LA PILI MAN UNITED YAICHAPA EVERTON 2-1

  POGBA AFUNGA LA KWANZA, ASETI LA PILI MAN UNITED YAICHAPA EVERTON 2-1

  Paul Pogba na Anthony Martial wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1wa Manchester United dhidi ya Everton leo Uwanja w...
  MMILIKI WA LEICESTER CITY AFARIKI DUNIA NDANI YA HELIKOPTA YAKE ILIYOTEKETEA KWA MOTO

  MMILIKI WA LEICESTER CITY AFARIKI DUNIA NDANI YA HELIKOPTA YAKE ILIYOTEKETEA KWA MOTO

  IMETHIBITISHWA mmiliki wa klabu ya Leicester City ya England, Vichai Srivaddhanaprabha amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa amepand...
  OKWI AFUNGA HAT TRICK SIMBA SC YAISHUGHULIKIA KIKAMILIFU RUVU SHOOTING, YAIPIGA 5-0 TAIFA

  OKWI AFUNGA HAT TRICK SIMBA SC YAISHUGHULIKIA KIKAMILIFU RUVU SHOOTING, YAIPIGA 5-0 TAIFA

  Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara b...
  NGOMA AFUNGA BAO PEKEE NAMFUA AZAM YAICHAPA 1-0 SINGIDA UNITED, MTIBWA SUGAR NAO WAWAPIGA KAGERA

  NGOMA AFUNGA BAO PEKEE NAMFUA AZAM YAICHAPA 1-0 SINGIDA UNITED, MTIBWA SUGAR NAO WAWAPIGA KAGERA

  Na Mwandishi Wetu, SINGIDA BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Dombo Ngoma limeipa ushinidi wa 1-0 Azam FC dhidi ya wenyeji, Singi...
  WANARIADHA WA TANZANIA BARA WATAMBA MBIO ZA KILOMITA 10 ZA KMKM ZANZIBAR

  WANARIADHA WA TANZANIA BARA WATAMBA MBIO ZA KILOMITA 10 ZA KMKM ZANZIBAR

  Na Makame Mshenga, ZANZIBAR WAKIMBIAJI kutoka Tanzania Bara, wameibuka washindi wa nafasi zote tatu za juu kwa wanawake na wanaume katika ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top