• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 25, 2022
  TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA

  TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA

  BAO pekee la Simon Happygod Msuva dakika ya 28 limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa usiku ...
  Jumamosi, Septemba 24, 2022
  SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU

  SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU

  TIMU ya taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki...
  Ijumaa, Septemba 23, 2022
  TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23

  TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23

  TANZANIA imelazimishwa sare ya bila kufungana na Sudan Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
  Alhamisi, Septemba 22, 2022
  MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI

  MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI

  WINGA Mghana wa Yanga, Bernard Morrison amefungiwa mechi tatu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mechi baina ya...
  MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF

  MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kimeagiza makocha wote wa timu za Championship wawe na Daraja la Elimu ya Diploma C ya Shirikisho la Soka ...
  Jumatano, Septemba 21, 2022
  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE NA SINGIDA STARS 1-1 KIRUMBA

  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE NA SINGIDA STARS 1-1 KIRUMBA

  TIMU ya Geita Gold imelazimishwa sare ya 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kiru...
  BODI YAFANYA TENA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU

  BODI YAFANYA TENA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho madogo ya ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuipa nafasi timu ya taifa katika mechi zak...
  Jumanne, Septemba 20, 2022
  KMC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 UWANJA WA UHURU

  KMC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 UWANJA WA UHURU

  WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Da...
  TAIFA STARS YAENDA LIBYA KUWAVAA WENYEJI NA UGANDA

  TAIFA STARS YAENDA LIBYA KUWAVAA WENYEJI NA UGANDA

  KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, maarufu kama Taifa Stars kimeondoka Alfajiri ya leo kwenda Libya kwa ajili ya michezo miwili ya kirafi...
  Jumatatu, Septemba 19, 2022
  RUVU SHOOTING YAICHAPA POLISI TZ 1-0 DAR

  RUVU SHOOTING YAICHAPA POLISI TZ 1-0 DAR

  BAO pekee la Abalkassim Suleiman dakika ya 48 limetosha kuipa Ruvu Shooting ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Ku...
  Jumapili, Septemba 18, 2022
  JESUS AFUNGA ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 3-0

  JESUS AFUNGA ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 3-0

  MABAO ya William Saliba dakika ya 17, Gabriel Jesus dakika ya 28 na Fabio Vieira dakika ya 49 yameipa Arsenal ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyej...
  KAGERA SUGAR NA DODOMA JIJI HAKUNA MBABE KIRUMBA

  KAGERA SUGAR NA DODOMA JIJI HAKUNA MBABE KIRUMBA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa ...
  KMKM YAPIGWA 4G, YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA

  KMKM YAPIGWA 4G, YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA

  TIMU ya KMKM ya Zanzibar imetupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji, Al Ahli Tripoli jana Uwanja wa Mart...
  Jumamosi, Septemba 17, 2022
  MAN CITY YAENDELEZA UBABE LIGI KUU ENGLAND

  MAN CITY YAENDELEZA UBABE LIGI KUU ENGLAND

  MABAO ya Jack Grealish dakika ya kwanza, Erling Haaland dakika ya 16 na Phil Foden dakika ya 69 leo yameipa Manchester City ushindi wa 3-0 d...
  GEITA GOLD YATUPWA NJE KWA KURUHUSU BAO NYUMBANI

  GEITA GOLD YATUPWA NJE KWA KURUHUSU BAO NYUMBANI

  SAFARI ya Geita Gold kwenye michuano ya Afrika imeishia Raundi ya Awali baada ya kutolewa kwa mabao ha ugenini na Al Sahil ya Sudan kufuatia...
  LISAJO AIBEBESHA NAMUMGO FC POINTI TATU NYINGINE MAJALIWA

  LISAJO AIBEBESHA NAMUMGO FC POINTI TATU NYINGINE MAJALIWA

  BAO la penalti la Reliant Lusajo dakika ya 39 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union leo Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkaon...
  PAMBA FC YAANZA VYEMA LIGI YA CHAMPIONSHIP NYAMAGANA

  PAMBA FC YAANZA VYEMA LIGI YA CHAMPIONSHIP NYAMAGANA

  BAO la mapema kipindi cha kwanza la Ali Ahmed ‘Shiboli’ limewapa wenyeji, Pamba FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold ya Mbeya kwenye mchezo w...
  KIPANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

  KIPANGA YASONGA MBELE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

  TIMU ya Kipanga FC ya Zanzibar imefanikiwa kwenda Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Hilal Wau ya Sudan Kusini ...
  JUMA MWAMBUSI NDIYE KOCHA WA IHEFU SC

  JUMA MWAMBUSI NDIYE KOCHA WA IHEFU SC

  BAADA ya kupoteza mechi zote tatu za mwanzo za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Ihefu SC imemteua Juma Mwambusi kuwa Kocha Mkuu badala ya Zubery K...
  Ijumaa, Septemba 16, 2022
  RONALDO AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 2-0 UGENINI ULAYA

  RONALDO AFUNGA MAN UNITED YASHINDA 2-0 UGENINI ULAYA

  TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa 2-0 ugenini dhidi ya wenyeji, FK Sheriff Tiraspol katika mchezo wa Kundi E michuano ya UEFA Eur...
  Alhamisi, Septemba 15, 2022
  REAL MADRID YAICHAPA RB LEIPZIG 2-0 BERNABEU

  REAL MADRID YAICHAPA RB LEIPZIG 2-0 BERNABEU

  MABAO ya Fede Valverde dakika ya 80 na Marco Asensio dakika ya 90 na ushei yameipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya RB Leipzig katika mch...
  HAALAND APIGA BONGE LA BAO DHIDI YA TIMU YAKE YA ZAMANI

  HAALAND APIGA BONGE LA BAO DHIDI YA TIMU YAKE YA ZAMANI

  WENYEJI, Manchester City wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jum...
  Jumatano, Septemba 14, 2022
  MKUDE AIBEBESHA SIMBA POINTI TATU MBELE YA PRISONS MBEYA

  MKUDE AIBEBESHA SIMBA POINTI TATU MBELE YA PRISONS MBEYA

  BAO pekee la kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons leo Uwanja wa Sokoine Jijini...
  MKUU WA MKOA AWAPA SIKU 60 WAVAMIZI UWANJA WA SIMBA BUNJU KUHAMA

  MKUU WA MKOA AWAPA SIKU 60 WAVAMIZI UWANJA WA SIMBA BUNJU KUHAMA

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea uwanja wa klabu ya Simba, Mo Simba Arena uliopo Bunju na kuwapa siku 60 waliovam...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top