ARSENAL HAIKAMATIKI BWANA WEEEE, YAWAFUMUA CARDIFF 3-0 BARAZANI KWAO...LUKAKU NI HATAREEE Saturday, November 30, 2013 London, England ARSENAL imezidi kijichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya England, baada ya kuilaza mabao 3-0 Cardiff City, kwenye Uwanja wa Ca... Saturday, November 30, 2013
SAMATTA AFUNGA, LAKINI SFAXIEN YAIUA MAZEMBE DAKIKA YA 88 LUBUMBASHI, WAMKOSA MWALI WA CAF HIVI HIVI! Saturday, November 30, 2013 Na Nurat Mahmoud, Lubumbashi WASHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu leo wameshindwa kutimiza ndoto zao za kuwa Wa... Saturday, November 30, 2013
KENYA WAOTEA VIBONDE, WAWACHAPA 3-1 NYAYO Saturday, November 30, 2013 Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi KENYA imeshinda mechi ya kwanza Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kuilaz... Saturday, November 30, 2013
MALINZI AMUAMBIA RAIS KIKWETE; "NITAHAKIKISHA TUNAANDAA KOMBE LA AFRIKA MWAKA 2019" Saturday, November 30, 2013 Na Dina Ismail, Dar es Salaam RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi amesema kwamba atahakikisha wanakuwa wenyeji w... Saturday, November 30, 2013
ZANZIBAR YAPIGWA NA WAHABESHI NYAYO CHALLENGE Saturday, November 30, 2013 Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi ZANZIBAR imejiweka njia panda kwenda au kutokwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kat... Saturday, November 30, 2013
MICHAEL WAMBURA: WATU WANADHANI NIMETEULIWA SIMBA KUMLINDA RAGE,LAKINI... Saturday, November 30, 2013 "Hivi karibuni niliteuliwa na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Mhe Ismail Aden Rage kuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba.Wanachama ... Saturday, November 30, 2013
AZAM YAMPA MKATABA WA MIAKA MIWILI KOCHA WA AKINA ETO’O Saturday, November 30, 2013 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KLABU ya Azam leo imemtambulisha kocha wake mpya, Joseph Marius Omograia wa Cameroon iliyempa Mkataba wa... Saturday, November 30, 2013
KIM POULSEN APANGUA KIKOSI STARS, DILUNGA BENCHI KESHO, CHUJI ATAANZA Saturday, November 30, 2013 Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi KOCHA Mdenmark, Kim Poulsen anatarajiwa kuwa na marekebisho madogo katika kikosi chake cha kesho kitakachomeny... Saturday, November 30, 2013
STARS KATIKA MAZOEZI LEO NAIROBI KUJIANDAA NA MCHEZO WA PILI CHALLENGE KESHO Saturday, November 30, 2013 Kipa wa Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, Ivo Mapunda akizuia mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Chuo Kikuu cha S... Saturday, November 30, 2013
ULIMWENGU, SAMATTA KUWEKA REKODI AFRIKA LEO? Saturday, November 30, 2013 Na Nurat Mahmoud, Lubumbashi WASHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta na Thomas Emanuel Ulimwengu leo watakuwa wanawania kuwa Watanzania wa kwan... Saturday, November 30, 2013
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA MWANZA, MWALI WA FIFA AWASILI DAR LEO Saturday, November 30, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akilifunua Kombe la Dunia la FIFA katika Uwanja wa michezo wa CCM K... Saturday, November 30, 2013
ZANZIBAR YAWANIA ROBO FAINALI LEO, KENYA YAJARIBU BAHATI KWA SUDAN KUSINI NYAYO Saturday, November 30, 2013 Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi ZANZIBAR leo inatarajiwa kucheza mechi yake ya pili ya Kundi A, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, ... Saturday, November 30, 2013
UGANDA YAWAFUNGA RWANDA 1-0, SUDAN YAIFUMUA ERITREA 3-0 Friday, November 29, 2013 Na Mahmoud Zubeiry, Nairobi BAO pekee la Dan Sserunkuma dakika ya 88, limeipa Uganda, The Cranes ushindi wa 1-0 dhidi ya Rwanda, Amavubi k... Friday, November 29, 2013
NI YANGA NA COASTAL FAINALI KOMBE LA UHAI 2013 Friday, November 29, 2013 YANGA SC imefanikiwa kuingia Fainali ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 20 kwa klabu za Ligi Kuu ya Bara, maarufu kama Kombe la... Friday, November 29, 2013
TFF YAMKAMATA PAZURI RAGE, ATAKE ASITAKE SASA ATAITISHA MKUTANO SIMBA SC Friday, November 29, 2013 Na Princess Asia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), sasa limekamata pazuri Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage a... Friday, November 29, 2013