// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 05/01/2024 - 06/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 05/01/2024 - 06/01/2024 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, May 31, 2024
    Thursday, May 30, 2024
    Wednesday, May 29, 2024
    Tuesday, May 28, 2024
    AZAM FC YAIPIKU SIMBA LİGİ YA MABINGWA, AZİZ Kİ MFUNGAJI BORA

    AZAM FC YAIPIKU SIMBA LİGİ YA MABINGWA, AZİZ Kİ MFUNGAJI BORA

    MSIMU wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara umehitimishwa leo kwa Azam FC kumaliza nafasi ya pili nyuma ya mabingwa, Yanga huku vigogo, Simba SC ...
    Monday, May 27, 2024
    BIASHARA UNITED YAJISOGEZA KARIBU NA LİGİ KUU, MBEYA KWANZA KUJARIBU TENA MSIMU UJAO

    BIASHARA UNITED YAJISOGEZA KARIBU NA LİGİ KUU, MBEYA KWANZA KUJARIBU TENA MSIMU UJAO

    TIMU ya Biashara United imefuzu hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya kuitoa Mbeya Kwanza kufu...
    Sunday, May 26, 2024
    MOROCCO AWATEMA SAMATTA NA JOB TAIFA STARS YA KUIVAA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    MOROCCO AWATEMA SAMATTA NA JOB TAIFA STARS YA KUIVAA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA

    KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanaume, Hemed Suleiman ‘Morocco’ hajamjumuisha Nahodha, Mbwana Ally Sanatta katika kikosi cha wachezaj...
    Saturday, May 25, 2024
    NI AHLY MABINGWA TENA AFRIKA, WAICHAPA ESPERANCE 1-0 CAIRO

    NI AHLY MABINGWA TENA AFRIKA, WAICHAPA ESPERANCE 1-0 CAIRO

    TIMU ya Al Ahly imefanikiwa kutwaa tena taji la Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Espérance Sportive de Tunis katika ...
    FEI TOTO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-1 CHAMAZI

    FEI TOTO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KAGERA SUGAR 5-1 CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
    NTIBANZOKIZA AIFUNGIA BAO PEKEE SIMBA YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA

    NTIBANZOKIZA AIFUNGIA BAO PEKEE SIMBA YAICHAPA KMC 1-0 ARUSHA

    BAO pekee la kiungo mkongwe, Mrundi Saido Ntibanzokiza dakika ya tatu limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu...
    YANGA SC YAENDELEZA UMBWAMBA LIGI KUU, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0

    YANGA SC YAENDELEZA UMBWAMBA LIGI KUU, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0

    MABINGWA mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mche...
    Friday, May 24, 2024
    MOTSEPE AHALALISHA BAO LA AZİZ Kİ LILILOKATALIWA MAMELODI NA YANGA PRETORIA

    MOTSEPE AHALALISHA BAO LA AZİZ Kİ LILILOKATALIWA MAMELODI NA YANGA PRETORIA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amesema bao la Yanga lililokataliwa na Refa Dahane Beida wa Mauritania katika mchez...
    Thursday, May 23, 2024
    Wednesday, May 22, 2024
    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA IHEFU 1-1 MWINYI

    TABORA UNITED YAAMBULIA SARE KWA IHEFU 1-1 MWINYI

    WENYEJI, Tabora United wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
    AZİZ Kİ APIGA MBILI YANGA YAIBABUA DODOMA JIJI 4-0 JAMHURI

    AZİZ Kİ APIGA MBILI YANGA YAIBABUA DODOMA JIJI 4-0 JAMHURI

    MABINGWA, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni y...
    FAINALI KOMBE LA TFF AZAM NA YANGA KUPIGWA ZANZIBAR JUNI 2

    FAINALI KOMBE LA TFF AZAM NA YANGA KUPIGWA ZANZIBAR JUNI 2

    FAINALI ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano ambayo sasa inajulikana kama CRDB Bank Federation Cup itafanyika Uwanja wa N...
    Tuesday, May 21, 2024
    AZAM FC YAIPIGA JKT TANZANIA 2-0 PALE PALE ISAMUHYO

    AZAM FC YAIPIGA JKT TANZANIA 2-0 PALE PALE ISAMUHYO

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
    COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE KAITABA

    COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 2-1 PALE PALE KAITABA

    TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ka...
    Monday, May 20, 2024
    MASHUJAA YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    MASHUJAA YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

    TIMU ya Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo U...
    MTIBWA SUGAR BADO KIDOGO TU KUIAGA RASMI LİGİ KUU

    MTIBWA SUGAR BADO KIDOGO TU KUIAGA RASMI LİGİ KUU

    WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu C...
    Sunday, May 19, 2024
    AZİZ Kİ AIPELEKA YANGA FAINALI KOMBE LA TFF, IHEFU ‘YAFA KIUME’

    AZİZ Kİ AIPELEKA YANGA FAINALI KOMBE LA TFF, IHEFU ‘YAFA KIUME’

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ‘CRDB Bank Federation Cup’ baada ya us...
    Friday, May 17, 2024

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top