• HABARI MPYA

  Tuesday, December 19, 2023

  GEITA GOLD YAFUNGIWA KUSAJILI HAIJAMLIPA BEKI MGHANA FEDHA ZAKE


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Geita Gold kufanya usajili hadi itakapomlipa beki Mghana, Shawn Oduro aliyepeleka malalamiko yake kwenye bodi hiyo ya soka duniani. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAFUNGIWA KUSAJILI HAIJAMLIPA BEKI MGHANA FEDHA ZAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top