• HABARI MPYA

  Friday, December 22, 2023

  UWANJA WA MKAPA WAFUNGWA KWA UKARABATI HADI OKTOBA MWAKANI


  WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeufungia Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matengenezo hadi Oktoba mwaka 2024.
  Taarifa ya Wizara haijatoa ufafanuzi juu ya agizo hilo kwamba litahusu na mechi za Kimataifa pia, au kwa mechi za mashindano ya nyumbani pekee.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UWANJA WA MKAPA WAFUNGWA KWA UKARABATI HADI OKTOBA MWAKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top