• HABARI MPYA

  Sunday, March 17, 2019

  SIMBA SC NA AS VITA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Kiungo Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama akimuacha chini mchezaji wa AS Vita katika mchezo wa mwisho wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-1 na kuingia Robo Fainali 
  Clatous Chama (kushoto) akiondoka na mpira jana Uwanja wa Taifa

  Nahodha wa Simba SC, mshambuliaji John Bocco akiondona na mpira

  Kiungo wa Simba SC, Muzamil Yassin akiondoka na mpira jana Uwanja wa Taifa

  Kipa wa AS Vita, Nelson Lukong akidaka mpira jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam

  John Bocco (kulia) akifukuzia mpira dhidi ya mchezaji wa AS Vita jana

  Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana dhidi ya AS Vita

  Kikosi cha AS Vita kilichoanza jana dhidi ya Simba SC

  Wachezaji wa Simba SC wakimpongeza Clatous Chama baada ya kufunga bao la pili jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA AS VITA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top