• HABARI MPYA

  Friday, January 27, 2023
  BODI YA LIGI YAISHUSHA DARAJA GWAMBINA NA KUIFUNGIA MISIMU MIWILI

  BODI YA LIGI YAISHUSHA DARAJA GWAMBINA NA KUIFUNGIA MISIMU MIWILI

  KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeishusha Daraja na kuifungia kwa misimu miwili klabu ya Gwam...
  MTIBWA SUGAR YASHINDA 4-0 NA KUSONGA MBELE ASFC

  MTIBWA SUGAR YASHINDA 4-0 NA KUSONGA MBELE ASFC

  WENYEJI, Mtibwa Sugar wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya...
  KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA

  KASEKE AFUNGIWA NA FAINI JUU KWA USHIRIKINA

  MCHEZAJI wa Singida Big Stars, Deus Kaseke amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa tuhuma za kufanya mambo ya kishirikina ...
  Thursday, January 26, 2023
  Wednesday, January 25, 2023
  Tuesday, January 24, 2023
  MKOKO APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAITANDIKA KMC 3-1 UHURU

  MKOKO APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAITANDIKA KMC 3-1 UHURU

  TIMU ya Namungo FC imepata ushindi wa ugenini wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Uh...
  GEITA GOLD YAILAZA COASTAL UNION 1-0 NYANKUMBU

  GEITA GOLD YAILAZA COASTAL UNION 1-0 NYANKUMBU

  TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu...
  AL HILAL YAJA NCHINI KUCHEZA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA SC

  AL HILAL YAJA NCHINI KUCHEZA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA SC

  KLABU ya Al Hilal ya Sudan inatarajiwa kuwasili nchini kesho kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikiwa nchini, ...
  Monday, January 23, 2023
  Sunday, January 22, 2023
  MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 SOKOINE

  MBEYA CITY YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 SOKOINE

  BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 14 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
  Saturday, January 21, 2023
  IHEFU YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 SOKOINE

  IHEFU YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1 SOKOINE

  TIMU ya Ihefu SC imepata ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja...
  MECHI YA WATANI SIMBA NA YANGA YASOGEZWA MBELE LIGI KUU

  MECHI YA WATANI SIMBA NA YANGA YASOGEZWA MBELE LIGI KUU

  MCHEZO wa marudiano wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya watani, Simba na Yanga uliopangwa kufanyika Aprili 9, mwaka huu umesogezwa mbele h...
  Friday, January 20, 2023
  GEITA GOLD YATOKA SARE 1-1 NA POLISI TANZANIA 1-1 NYANKUMBU

  GEITA GOLD YATOKA SARE 1-1 NA POLISI TANZANIA 1-1 NYANKUMBU

    WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
  Thursday, January 19, 2023
  Wednesday, January 18, 2023
  NTIBANZOKIZA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MBEYA CITY 3-2

  NTIBANZOKIZA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MBEYA CITY 3-2

  WENYEJI, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjamin M...
  Tuesday, January 17, 2023
  Monday, January 16, 2023
  TANZANIA PRISONS YASAJILI WATANO DIRISHA DOGO

  TANZANIA PRISONS YASAJILI WATANO DIRISHA DOGO

  KLABU ya Tanzania Prisons imesajili wachezaji watano wapya katika dirisha hili dogo ili kukiongezea nguvu kikosi chake kuelekea simu iliyoba...
  Sunday, January 15, 2023
  COASTAL UNION YAAMBULIA SULUHU KWA RUVU SHOOTING

  COASTAL UNION YAAMBULIA SULUHU KWA RUVU SHOOTING

  WENYEJI, Coastal Union wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwak...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top