• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 31, 2019
  BARCELONA YABANWA, YATOA SARE YA 2-2 NA OSASUNA LA LIGA

  BARCELONA YABANWA, YATOA SARE YA 2-2 NA OSASUNA LA LIGA

  KINDA wa umri wa miaka 16, winga wa Guinea-Bissau, Anssumane 'Ansu' Fati akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawaz...
  LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND

  LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA 13 MFULULIZO LIGI KUU ENGLAND

  Mshambuliaji Sadio Mane akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyej...
  DULLAH MBABE ATWAA TAJI LA WBO BAADA YA KUMPIGA MCHINA KWA KO

  DULLAH MBABE ATWAA TAJI LA WBO BAADA YA KUMPIGA MCHINA KWA KO

  Na Mwandishi Wetu, QINGDAO   BONDIA Mtanzania, Abdallah Shaaban Pazi ‘Dullah Mbabe’ jana amefanikiwa kutwaa taji la WBO Asia Pacific uzito...
  AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0

  AGUERO AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA BRIGHTON 4-0

  Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao lake la pili dakika ya 55 baada ya kufunga lingine dakika ya 42 katika ushindi wa 4-0 dhidi ...
  TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2

  TAMMY ABRAHAM APIGA MBILI LAKINI CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 2-2

  Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Chelsea dakika za 19 na 43 kabla ya Sheffield United kusawazisdha kwa mabao ya...
  REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON

  REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON

  Mason Greenwood wa Manchester United akiwa chini kwenye boksi baada ya kuangushwa na Pierre-Emile Hojbjerg wa Southampton katika mchezo w...
  Ijumaa, Agosti 30, 2019
  KABWILI NA ALLY NG’ANZI WAITWA KIKOSI CHA BARA CHINI YA MIAKA 20 KUCHEZA CECAFA

  KABWILI NA ALLY NG’ANZI WAITWA KIKOSI CHA BARA CHINI YA MIAKA 20 KUCHEZA CECAFA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Zuberi Katwila ameita wachezaji ...
  MO DEWJI AWATULIZA WANA SIMBA SC BAADA YA KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA

  MO DEWJI AWATULIZA WANA SIMBA SC BAADA YA KUTOLEWA MAPEMA LIGI YA MABINGWA

  Na Saada Salim, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohammed ‘Mo’ Dewji amewataka wapenzi na wanachama wa klabu hi...
  Alhamisi, Agosti 29, 2019
  TAIFA STARS WALIVYOANZA KUJIFUA LEO BOKO VETERANI KUJIANDAA NA BURUNDI

  TAIFA STARS WALIVYOANZA KUJIFUA LEO BOKO VETERANI KUJIANDAA NA BURUNDI

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa Uwanja wa Boko Veterani kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mchezo wa ku...
  SAMATTA APANGIWA LIVERPOOL, NAPOLI NA SALZBURG KUNDI E LIGI YA MABINGWA ULAYA

  SAMATTA APANGIWA LIVERPOOL, NAPOLI NA SALZBURG KUNDI E LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Na Mwandishi Wetu, MONACO NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, timu yake, KRC Genk ya Ubelgiji imepangwa kundi moja na E Ligi ya Mabi...
  VAN DIJK AWASHINDA MESSI NA RONALDO MWANASOKA BORA ULAYA

  VAN DIJK AWASHINDA MESSI NA RONALDO MWANASOKA BORA ULAYA

  KLABU ya Liverpool imetamba kwenye tuzo za wanasoka bora wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) usiku wa leo mjini Monaco, Ufaransa huku beki w...
  SIMBA SC YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAWACHAPA JKT TANZANIA 3-0 KAGERE AANZA NA MBILI

  SIMBA SC YAANZA VYEMA LIGI KUU, YAWACHAPA JKT TANZANIA 3-0 KAGERE AANZA NA MBILI

  Na Saada Salim, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao...
  MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA TFF, NASSIB AFARIKI DUNIA ATAZIKWA KESHO KISUTU

  MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA TFF, NASSIB AFARIKI DUNIA ATAZIKWA KESHO KISUTU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM ALIYEWAHI kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ramadhani Nassib amefariki dunia alfa...
  SANCHEZ ATUA MILAN KUKAMILISHA UHAMISHO WA MKOPOPO

  SANCHEZ ATUA MILAN KUKAMILISHA UHAMISHO WA MKOPOPO

  Alexis Sanchez akiwapungia mkono mashabiki baada ya kuwasili mjini Milan jana kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya ili kukamilisha uhamis...
  Jumatano, Agosti 28, 2019
  JACKPOT KUBWA YA KIHISTORIA YA TANZANIA, SH MILIONI 825 ZAKABIDHIWA KWA WASHINDI WAWILI KUTOKA SPORTPESA

  JACKPOT KUBWA YA KIHISTORIA YA TANZANIA, SH MILIONI 825 ZAKABIDHIWA KWA WASHINDI WAWILI KUTOKA SPORTPESA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya Jackpot ya SportPesa kuvunjwa kwa mara ya kwanza ikiwa imefikia jumla ya milioni 825,913,640/= n...
  YANGA SC YAANZA VIBAYA LIGI KUU, YACHAPWA BAO 1-0 NA RUVU SHOOTING LEO UHURU

  YANGA SC YAANZA VIBAYA LIGI KUU, YACHAPWA BAO 1-0 NA RUVU SHOOTING LEO UHURU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ruvu Shooting imeanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwaangusha vigogo, ...
  Jumanne, Agosti 27, 2019
  AZAM FC YAANZA VYEMA LIGI KUU TANZANIA BARA, YAICHAPA KMC 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

  AZAM FC YAANZA VYEMA LIGI KUU TANZANIA BARA, YAICHAPA KMC 1-0 LEO UWANJA WA UHURU

  Na Saada Salim, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeuanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC ...
  WACHEZAJI 40 WAITWA KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE

  WACHEZAJI 40 WAITWA KIKOSI CHA AWALI CHA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars Bakari Nyundo Shime ametaja kikosi cha wache...
  Jumatatu, Agosti 26, 2019
  GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 LA LIGA

  GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 LA LIGA

  Mshambuliaji mpya, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na 50, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 5-2 ...
  Jumapili, Agosti 25, 2019
  KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI

  KOVALEV AMDUNDA ANTHONY YARDE KWA KO RAUNDI YA 11 URUSI

  Anthony Yarde akiwa chini baada ya kuangushwa na Sergey Kovalev raundi ya 11 katika pambano la ubingwa wa dunia usiku wa jana ukumbi wa T...
  AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND

  AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi...
  SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 NYUMBANI NA UD SONGO NA KUTOLEWA KWA BAO LA UGENINI

  SIMBA SC YAAMBULIA SARE 1-1 NYUMBANI NA UD SONGO NA KUTOLEWA KWA BAO LA UGENINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wametolewa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishw...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top