// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 31, 2020
    WABUNGE WA ZAMANI NA WA SASA WAGONGANA KUWANIA UENYEKITI WA KLABU YA SIMBA SC FEBRUARI 7

    WABUNGE WA ZAMANI NA WA SASA WAGONGANA KUWANIA UENYEKITI WA KLABU YA SIMBA SC FEBRUARI 7

    WABUNGE wa sasa na wa zamani wamejitokeza kuwania nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba SC Februari 7, mwakani.   Hao ni Mbunge wa zamani wa...
     YANGA SC CHUPUCHUPU KUZAMA KWA PRISONS, WASAWAZISHA MWISHONI SARE 1-1 SUMBAWAGA

    YANGA SC CHUPUCHUPU KUZAMA KWA PRISONS, WASAWAZISHA MWISHONI SARE 1-1 SUMBAWAGA

    VINARA, Yanga SC wameendeleza rekodi ya kupoteza mechi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kulazimisha sare ya 1-1 na we...
    Wednesday, December 30, 2020
     KAGERE APIGA MBILI, TSHABALALA NA MUGALU MOJA KILA MMOJA SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 4-0 DAR

    KAGERE APIGA MBILI, TSHABALALA NA MUGALU MOJA KILA MMOJA SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 4-0 DAR

    MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbila ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa Ihefu SC 4-0 jioni ya leo Uwanj...
    LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX

    LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX

    Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 66, kiasi cha sekunde 21 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya...
    Tuesday, December 29, 2020
    METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA AISHI MANULA NA DANIEL MGORE TAIFA STARS YA CHAN

    METACHA MNATA ATEMWA, JUMA KASEJA AITWA PAMOJA NA AISHI MANULA NA DANIEL MGORE TAIFA STARS YA CHAN

    KIPA namba wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata hajaorodheshwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoa...
    SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AFUNGA BAO BAO PEKEE YASHINDA 1-0 MOROCCO

    SIMON MSUVA AENDELEA KUNG'ARA WYDAD CASABLANCA, AFUNGA BAO BAO PEKEE YASHINDA 1-0 MOROCCO

    HABARI njema zaidi ni kwamba – Simon Msuva si tu mchezaji pale Wydad bali ni ‘Supa Staa’ baada ya vitu alivyofanya muda mfupi tu wa kuwa na ...
    Monday, December 28, 2020
    TFF YASEMA SINGIDA UNITED INAWADAI SH MILIONI 1 TU ZAWADI YA USHINDI WA PILI KOMBE LA TFF 2019

    TFF YASEMA SINGIDA UNITED INAWADAI SH MILIONI 1 TU ZAWADI YA USHINDI WA PILI KOMBE LA TFF 2019

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema klabu ya Lipuli FC ya Iringa inadai Sh Milioni 1 tu katika zawadi yake ya ushindi wa pili Kombe l...
    BEKI MKONGWE NCHINI KELVIN YONDAN ALIYEACHWA NA VIGOGO, YANGA SC ASAJILIWA NA POLISI TANZANIA

    BEKI MKONGWE NCHINI KELVIN YONDAN ALIYEACHWA NA VIGOGO, YANGA SC ASAJILIWA NA POLISI TANZANIA

    Na Clement Shari, ARUSHA KLABU ya soka ya Polisi Tanzania yenye maskani yake mjini Moshi mkoani Kilimanjaro imetangaza kumsajili beki wa zam...
    Sunday, December 27, 2020
    SIMBA SC YAIFUMUA MAJI MAJI YA SONGEA 5-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    SIMBA SC YAIFUMUA MAJI MAJI YA SONGEA 5-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    MABINGWA watetezi, Simba SC wamesonga mbele michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup ...
    Saturday, December 26, 2020
    YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YATIMA NA WAGONJWA WA HOSPITALI YA MBOZI

    YANGA SC WASHEREHEKEA KRISIMASI KWA KUWAFARIJI YATIMA NA WAGONJWA WA HOSPITALI YA MBOZI

    VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi walitoa zawadi katika kituo cha kulelea watoto yatima na hosp...
    CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA 2-0 MAGEREZA CHAMAZI

    CHIRWA NA TIGERE WAFUNGA AZAM FC YASONGA MBELE KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA 2-0 MAGEREZA CHAMAZI

    AZAM FC imesonga mbele Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushi...
    Friday, December 25, 2020
    SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6

    SIMBA SC WAREJEA DAR TAYARI KUJIPANGA KWA MCHEZO WA MARUDINO DHIDI YA FC PLATINUMS JANUARI 6

    KIKOSI cha Simba SC kimerejea leo Dar es Salaam kutoka Zimbabwe ambako Jumatano walichapwa 1-0 na wenyeji, FC Platinums jana Uwanja wa Taifa...
    MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, PRINCE DUBE AANZA KUJIFUA CHINI YA KOCHA WA MAZOEZI YA VIUNGO

    MSHAMBULIAJI MZIMBABWE WA AZAM FC, PRINCE DUBE AANZA KUJIFUA CHINI YA KOCHA WA MAZOEZI YA VIUNGO

    MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube Mpumelelo ameanza programu maalumu ya mazoezi ya kujiweka sawa, chini ya Kocha wa viungo wa klabu hiyo,...
    Thursday, December 24, 2020
    YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAADA YA SINGIDA UNITED KUSHUSHWA MADARAJA

    YANGA SC YAPITA BILA JASHO RAUNDI YA TATU ASFC BAADA YA SINGIDA UNITED KUSHUSHWA MADARAJA

    ADHABU ya Singida United inamaanisha kwamba, vigogo wenzao, Yanga SC wapita bila jashio Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzan...
    ULIMWENGU APIGA MBILI TP MAZEMBE YAICHAPA BOUENGUIDI FC 2-1 KWAO LIGI YA MABINGWA

    ULIMWENGU APIGA MBILI TP MAZEMBE YAICHAPA BOUENGUIDI FC 2-1 KWAO LIGI YA MABINGWA

    MSHAMBUILIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu jana amefunga mabao mawili kuiwezesha TP Mazembe kupata ushindi wa ugenini wa 2-1 d...
    AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO

    AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI MPYA HATARI, MPIANA MONZINZI KUTOKA FC LUPOPO YA KONGO

    MSHAMBULIAJi mpya wa Azam FC, Mpiana Monzinzi, jana alianza mazoezi muda mfupi baada kusaini mkataba wa mwaka mmoja kutoka St. Eloi Lupopo L...
    Wednesday, December 23, 2020
     MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO

    MHE.BASHUNGWA ASEMA SERIKALI ITAENDELA KUSHIRIKIANA NA TFF KUENDELEZA MICHEZO

    Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dar es Salaam WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa ameliagiza Shirikisho la Soka Tanz...
    NAMUNGO FC WANG'ARA AFRIKA, WAICHAPA AL HILAL OBAYED YA SUDAN 2-0 CHAMAZI KOMBE LA SHIRIKISHO

    NAMUNGO FC WANG'ARA AFRIKA, WAICHAPA AL HILAL OBAYED YA SUDAN 2-0 CHAMAZI KOMBE LA SHIRIKISHO

    MABAO ya Sixtus Sabilo dakika ya 14 na Stephen Sey dakika ya 31 yameipa Namungo FC ushindi wa 2-0 dhidi ya Al Hilal Obayed ya Sudan jioni ya...
    SIMBA SC YATELEZA ZIMBABWE, YACHAPWA 1-0 NA FC PLATINUMS HARARE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    SIMBA SC YATELEZA ZIMBABWE, YACHAPWA 1-0 NA FC PLATINUMS HARARE LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    BAO pekee la Perfect Chikwende dakika ya 17 limaipa ushindi wa 1-0 FC Platinums dhidi ya Simba SC ya Tanzania katika mchezo wa kwanza Hatua ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top