• HABARI MPYA

  Thursday, December 21, 2023

  TFF YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA SAUDI ARABIA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo limesaini mkataba wa ushirikiano Shirikisho la Soka Saudi Arabia.
  Upande wa TFF uliwakilishwa na Rais mwenyewe, Wallace Karia, Makamu wake, Athumani Nyamlani na Katibu wake, Wilfred Kidao huku kwa Saudi Arabia ikiwakilishwa na Rais wake wa shirikisho pia, Yasser Al Misehal.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO NA SAUDI ARABIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top